Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
๐๐๐Nimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako.
Umepoteza kabisa mwelekeo, unaponda Makonda kufunga barabara kulisha watu nyama, wewe kipi ulichokifanya ukiwa mbunge hadi wakukumbuke.
Bro unaponda Makonda kutafutia vijana 1000 scholarship, we mkeo si yupo Canada mbona hamsaidii vijana wa Arusha wakasome, we ulipokuwa mbunge ulitafuta scholarship ngapi
Bro watu wa Arusha wamemwelewa sana Makonda, wamemwelewa mno, we huwezi tena kumchafua Makonda wala kumteta mbele za watu.
Wewe ulikuwa ukifanya mikutano Arusha watu wanafunga biashara kuja kukuckiliza, leo unafanya mkutano utadhan mkutano wa kitongoji, yaan wananchi wameona kukusapoti wewe ni kuiua Arusha.
Watu walikuwa wanasema vijiweni had bodaboda tangu Makonda awe RC Arusha kumekucha, leo Makonda akibadilishwa Arusha moto wake utakuwa sio wa kawaida.
Makonda amefanya mashindano ya pikipiki vijana wamemula hela ya maana na wengine wameenda kushindana nje ya nchi we unapoteza muda kumtukana Makonda.
Yaan watu hawajakuelewa kabisa bro kwenye mkutano wako, ukimshambulia Makonda unaonekana mwehu bro ungedili na Gambo, Makonda level nyingine kabisa.
Soma Pia: Lema: RC wa Arusha anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa kamati za harusi. Anahangaika na matamasha badala ya kushughulika na maendeleo
Watu hawaonewi sasa hivi Arusha, wafanyabiashara wana amani, wewe umebakia kuwa mbunge wa twitter au X tu
Unasubiriwa kwa hamu na wakuu uzuie uchaguzi wakutoe
Utaweka hiyo list ya majina ya hizo scolarship 1,000 za Makonda ili Lema aumbuke vizuri, maana watu wenyewe wa Arusha sio wajinga wa hivyo.Nimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako.
Umepoteza kabisa mwelekeo, unaponda Makonda kufunga barabara kulisha watu nyama, wewe kipi ulichokifanya ukiwa mbunge hadi wakukumbuke.
Bro unaponda Makonda kutafutia vijana 1000 scholarship, we mkeo si yupo Canada mbona hamsaidii vijana wa Arusha wakasome, we ulipokuwa mbunge ulitafuta scholarship ngapi
Bro watu wa Arusha wamemwelewa sana Makonda, wamemwelewa mno, we huwezi tena kumchafua Makonda wala kumteta mbele za watu.
Wewe ulikuwa ukifanya mikutano Arusha watu wanafunga biashara kuja kukuckiliza, leo unafanya mkutano utadhan mkutano wa kitongoji, yaan wananchi wameona kukusapoti wewe ni kuiua Arusha.
Watu walikuwa wanasema vijiweni had bodaboda tangu Makonda awe RC Arusha kumekucha, leo Makonda akibadilishwa Arusha moto wake utakuwa sio wa kawaida.
Makonda amefanya mashindano ya pikipiki vijana wamemula hela ya maana na wengine wameenda kushindana nje ya nchi we unapoteza muda kumtukana Makonda.
Yaan watu hawajakuelewa kabisa bro kwenye mkutano wako, ukimshambulia Makonda unaonekana mwehu bro ungedili na Gambo, Makonda level nyingine kabisa.
Soma Pia: Lema: RC wa Arusha anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa kamati za harusi. Anahangaika na matamasha badala ya kushughulika na maendeleo
Watu hawaonewi sasa hivi Arusha, wafanyabiashara wana amani, wewe umebakia kuwa mbunge wa twitter au X tu
Unasubiriwa kwa hamu na wakuu uzuie uchaguzi wakutoe
Hawa jamaa wake zao na watoto wao wamewaacha canada na Ubelgiji alafu wanakuja kutuambia No reform no Election,Sijui wanatuchukuliaje Watanzania ๐,wanategemea watoto wa Watanzania waliopo nchini wanaokomaa na hali zao wawatumie kuandamana eti kuzuia uchaguzi๐Nimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako.
Umepoteza kabisa mwelekeo, unaponda Makonda kufunga barabara kulisha watu nyama, wewe kipi ulichokifanya ukiwa mbunge hadi wakukumbuke.
Bro unaponda Makonda kutafutia vijana 1000 scholarship, we mkeo si yupo Canada mbona hamsaidii vijana wa Arusha wakasome, we ulipokuwa mbunge ulitafuta scholarship ngapi
Bro watu wa Arusha wamemwelewa sana Makonda, wamemwelewa mno, we huwezi tena kumchafua Makonda wala kumteta mbele za watu.
Wewe ulikuwa ukifanya mikutano Arusha watu wanafunga biashara kuja kukuckiliza, leo unafanya mkutano utadhan mkutano wa kitongoji, yaan wananchi wameona kukusapoti wewe ni kuiua Arusha.
Watu walikuwa wanasema vijiweni had bodaboda tangu Makonda awe RC Arusha kumekucha, leo Makonda akibadilishwa Arusha moto wake utakuwa sio wa kawaida.
Makonda amefanya mashindano ya pikipiki vijana wamemula hela ya maana na wengine wameenda kushindana nje ya nchi we unapoteza muda kumtukana Makonda.
Yaan watu hawajakuelewa kabisa bro kwenye mkutano wako, ukimshambulia Makonda unaonekana mwehu bro ungedili na Gambo, Makonda level nyingine kabisa.
Soma Pia: Lema: RC wa Arusha anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa kamati za harusi. Anahangaika na matamasha badala ya kushughulika na maendeleo
Watu hawaonewi sasa hivi Arusha, wafanyabiashara wana amani, wewe umebakia kuwa mbunge wa twitter au X tu
Unasubiriwa kwa hamu na wakuu uzuie uchaguzi wakutoe
Mkuu hili ungeachana nalo, litakuchafulia tu cv zako, unaheshimika sana Jf.Kwahiyo kwako wewe kufuturisha na kupewa nyama choma ndio vipaumbele?
Lema mpaka uchaguzi wa kanda chadema walimpiga chini, akasusaKwahiyo kwako wewe kufuturisha na kupewa nyama choma ndio vipaumbele?
Another DEINimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako.
Umepoteza kabisa mwelekeo, unaponda Makonda kufunga barabara kulisha watu nyama, wewe kipi ulichokifanya ukiwa mbunge hadi wakukumbuke.
Bro unaponda Makonda kutafutia vijana 1000 scholarship, we mkeo si yupo Canada mbona hamsaidii vijana wa Arusha wakasome, we ulipokuwa mbunge ulitafuta scholarship ngapi
Bro watu wa Arusha wamemwelewa sana Makonda, wamemwelewa mno, we huwezi tena kumchafua Makonda wala kumteta mbele za watu.
Wewe ulikuwa ukifanya mikutano Arusha watu wanafunga biashara kuja kukuckiliza, leo unafanya mkutano utadhan mkutano wa kitongoji, yaan wananchi wameona kukusapoti wewe ni kuiua Arusha.
Watu walikuwa wanasema vijiweni had bodaboda tangu Makonda awe RC Arusha kumekucha, leo Makonda akibadilishwa Arusha moto wake utakuwa sio wa kawaida.
Makonda amefanya mashindano ya pikipiki vijana wamemula hela ya maana na wengine wameenda kushindana nje ya nchi we unapoteza muda kumtukana Makonda.
Yaan watu hawajakuelewa kabisa bro kwenye mkutano wako, ukimshambulia Makonda unaonekana mwehu bro ungedili na Gambo, Makonda level nyingine kabisa.
Soma Pia: Lema: RC wa Arusha anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa kamati za harusi. Anahangaika na matamasha badala ya kushughulika na maendeleo
Watu hawaonewi sasa hivi Arusha, wafanyabiashara wana amani, wewe umebakia kuwa mbunge wa twitter au X tu
Unasubiriwa kwa hamu na wakuu uzuie uchaguzi wakutoe
Mh Lema ni mtoto wa R. Anaifahamu A town fika hawa wa kuja sasa R wameshawashtukia ni wasaka fursa. Yaani Mkuu wa Mkoa anafunga barabara eti Wamama waonyeshe namna ya kuwapikia watoto uji?? Unafunga barabara uka promote ulevi??? Hiyo kwako ni ujanja au matope??Nimeshuhudia majuzi akiongea na Wana Arusha yaani aibu tupu, wanamsikiliza halafu wanamcheka, anadai wanaarusha wa sasa wamekuwa wa hovyo sijui wamekuwaje kila siku wapewa visherehe nao wanahadaika, Lema hakika amekwisha kwishney, atafute Jimbo lingine tu, hakuna namna, Arusha imepata viongozi kwa sasa.
WakuuHawa jamaa wake zao na watoto wao wamewaacha canada na Ubelgiji alafu wanakuja kutuambia No reform no Election,Sijui wanatuchukuliaje Watanzania ๐,wanategemea watoto wa Watanzania waliopo nchini wanaokomaa na hali zao wawatumie kuandamana eti kuzuia uchaguzi๐
Mama asicheke nao,awapige spana za kichwa warudi walipotoka,wawafuate wake zao huko Ulaya
Nimemsikiliza,nimecheka sana ๐
HILI JITU JINGA SANA. HALISOMI NABII DANIELI ALIKATAA KUJINAJISI KWA CHAKULA CHA MFALME?Kwahiyo kwako wewe kufuturisha na kupewa nyama choma ndio vipaumbele?
Bora wawapikie watoto uji,Lema yeye ni maandamano tu,watu wamekufa kwa maandamano yake leo hii familia zina majutoMh Lema ni mtoto wa R. Anaifahamu A town fika hawa wa kuja sasa R wameshawashtukia ni wasaka fursa. Yaani Mkuu wa Mkoa anafunga barabara eti Wamama waonyeshe namna ya kuwapikia watoto uji?? Unafunga barabara uka promote ulevi??? Hiyo kwako ni ujanja au matope??
Mkoa wa Arusha una Wilaya ngapi kwann asiende kuwapa hiyo burudani wengine?? Why Arusha Mjini?? Full ushirikina.
Wewe nani amekuzuia umpeleke mume wako nje ya nchi?! Wivu tu. Mpeleke hata kijijini kwenu kama nje huwezi, Wacha kulialia humu.Hawa jamaa wake zao na watoto wao wamewaacha canada na Ubelgiji alafu wanakuja kutuambia No reform no Election,Sijui wanatuchukuliaje Watanzania ๐,wanategemea watoto wa Watanzania waliopo nchini wanaokomaa na hali zao wawatumie kuandamana eti kuzuia uchaguzi๐
Mama asicheke nao,awapige spana za kichwa warudi walipotoka,wawafuate wake zao huko Ulaya
Nimemsikiliza,nimecheka sana ๐
Kila jambo ni mchakato,,Tulia maji yachemke kuku ๐ anyonyoleweNimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako.
Umepoteza kabisa mwelekeo, unaponda Makonda kufunga barabara kulisha watu nyama, wewe kipi ulichokifanya ukiwa mbunge hadi wakukumbuke.
Bro unaponda Makonda kutafutia vijana 1000 scholarship, we mkeo si yupo Canada mbona hamsaidii vijana wa Arusha wakasome, we ulipokuwa mbunge ulitafuta scholarship ngapi
Bro watu wa Arusha wamemwelewa sana Makonda, wamemwelewa mno, we huwezi tena kumchafua Makonda wala kumteta mbele za watu.
Wewe ulikuwa ukifanya mikutano Arusha watu wanafunga biashara kuja kukuckiliza, leo unafanya mkutano utadhan mkutano wa kitongoji, yaan wananchi wameona kukusapoti wewe ni kuiua Arusha.
Watu walikuwa wanasema vijiweni had bodaboda tangu Makonda awe RC Arusha kumekucha, leo Makonda akibadilishwa Arusha moto wake utakuwa sio wa kawaida.
Makonda amefanya mashindano ya pikipiki vijana wamemula hela ya maana na wengine wameenda kushindana nje ya nchi we unapoteza muda kumtukana Makonda.
Yaan watu hawajakuelewa kabisa bro kwenye mkutano wako, ukimshambulia Makonda unaonekana mwehu bro ungedili na Gambo, Makonda level nyingine kabisa.
Soma Pia: Lema: RC wa Arusha anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa kamati za harusi. Anahangaika na matamasha badala ya kushughulika na maendeleo
Watu hawaonewi sasa hivi Arusha, wafanyabiashara wana amani, wewe umebakia kuwa mbunge wa twitter au X tu
Unasubiriwa kwa hamu na wakuu uzuie uchaguzi wakutoe
Ushirikina wa kanda anayotoka jamaa uko kwenye vyakula sana.Nani kawaambia watu wa Arusha kuna chakula xha bure hapo wanaibiwa nyota zao tuMh Lema ni mtoto wa R. Anaifahamu A town fika hawa wa kuja sasa R wameshawashtukia ni wasaka fursa. Yaani Mkuu wa Mkoa anafunga barabara eti Wamama waonyeshe namna ya kuwapikia watoto uji?? Unafunga barabara uka promote ulevi??? Hiyo kwako ni ujanja au matope??