kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,791
- 12,225
Lema ndio anawadanganya atazuia uchaguzi? Kwa Nguvu gani aliyonayo nchi hii?Wewe nani amekuzuia umpeleke mume wako nje ya nchi?! Wivu tu. Mpeleke hata kijijini kwenu kama nje huwezi, Wacha kulialia humu.
😀😀na nyie mlivyo manyumbu akili kichwani haipo mnamuitikia tu.
Kama wewe ni Mgumu
Weka mkeo na watoto mbele waandamane kuzuia uchaguzi hio oktoba kumpambania Lema
Si unampenda sana,Kakae mbele,sio ukamanda wa kujidai kukoment jf kwa ukali
Bure kabisa wewe