Lema ndio anawadanganya atazuia uchaguzi? Kwa Nguvu gani aliyonayo nchi hii?Wewe nani amekuzuia umpeleke mume wako nje ya nchi?! Wivu tu. Mpeleke hata kijijini kwenu kama nje huwezi, Wacha kulialia humu.
Kwani kawapeleka huko kukwepa maandamano?? Tumia akili kufikiri siyo vinginevyo. Mnawapa watoto wa watu nyama za nure ili iweje??Bora wawapikie watoto uji,Lema yeye ni maandamano tu,watu wamekufa kwa maandamano yake leo hii familia zina majuto
yeye anaendelea kufanya Maisha na familia yake kaiacha canada,anategemea kuhamasisha watoto wa wengine kuandamana kuzuia uchaguzi π
Ni ujinga wa hali ya juu
Unadhani yeye ni mjinga?Kwani kawapeleka huko kukwepa maandamano?? Tumia akili kufikiri siyo vinginevyo. Mnawapa watoto wa watu nyama za nure ili iweje??
Kwa chama chao hivyo ndio vipaumbeleKwahiyo kwako wewe kufuturisha na kupewa nyama choma ndio vipaumbele?
Lema ana vipaumbele gani?wometimes ukweli usemweKwahiyo kwako wewe kufuturisha na kupewa nyama choma ndio vipaumbele?