Godbless Lema, The New Kinana in Tanzania Politics!! Salute kwake!!

A man to watch, Godbless Lema!!

Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana.

Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini .

Kustaafu kwa Kinana katika siasa kulinipa wakati mgumu sana hasa katika kutafakari juu ya Mwanasiasa gani nchini ambaye atachukua nafasi yake?

Upekee wa Kinana katika siasa unatokana na namna alivyoaminiwa na kuwa Meneja wa Kampeni na kuongoza Kampeni za Marais 3 wa Tanzania katika miongo tofauti kuanzia Ben Mkapa, Jakaya Kikwete na baadae Magufuli.

Kutokana na kuwa kiungo muhimu hasa kwenye lobbying na mikakati kinana alionekana anafaa zaidi kwenye nafasi za juu chamani ambazo hazina attention kubwa ya Wananchi wengi ambapo alifanikiwa kufanikisha mengi sana.

Baada ya Kinana kustaafu, Mwanasiasa niliyemuona kuchukua nafasi yake ni Godbless Lema. Huyu kusema kweli ni toleo jipya la Abdulrhman Kinana.

Kufanana kwa Lema na Kinana hakutokani tu na wote kutoka Arusha, sehemu inayotambulika kuwa ya vijana watafutaji bali hata namna wanavyokataa nafasi nyeti na kuchukua nafasi za mikakati kufanikisha shughuli na ajenda za vyama vyao.

Wakati siasa za Tanzania zikiingia katika hatua nyingine ya msisimko kutokana na kuibuka upya kwa Chadema, Godbless Lema amekataa nafasi za juu za kisiasa ikiwemo kugombea tena ubunge wa Arusha.

Godbless Lema amechukua nafasi ya Chief Strategist na Lobbyist wa CHADEMA. Nafasi hii imemfanya a operate behind za Shadow ila matokeo yake wote tunayaona na tutayaona sana.

Nguvu ya CHADEMA tutayoiona na tutakayoiona, the architect behind ni Godbless Lema. Huyu sasa ndo anatengeneza mipango ya Fedha ya Chama na kukiwezesha Chama kufika maeneo mengi sana.

Hongera Godbless Lema!
Wewe ndo mrithi sahihi wa Kinana kwenye siasa za Tanzania.
Kwa ccm wamebaki na siasa za Ebola tu
 
Wanasiasa kuna muda ukiwasikiliza utajiona wanakupenda sana mwananchi, kumbe wapo kutetea matumbo yao..!!
 
Tofauti yao ni nini na hiyo team ya zamani ya Chadema au veggies??
Tafadhali usiifananishe hii timu iliyowekwa na Mungu pale CHADEMA na wale nzi wa kijani wanaowaza kuliibia taifa na vyeo tu.
 
A man to watch, Godbless Lema!!

Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana.

Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini .

Kustaafu kwa Kinana katika siasa kulinipa wakati mgumu sana hasa katika kutafakari juu ya Mwanasiasa gani nchini ambaye atachukua nafasi yake?

Upekee wa Kinana katika siasa unatokana na namna alivyoaminiwa na kuwa Meneja wa Kampeni na kuongoza Kampeni za Marais 3 wa Tanzania katika miongo tofauti kuanzia Ben Mkapa, Jakaya Kikwete na baadae Magufuli.

Kutokana na kuwa kiungo muhimu hasa kwenye lobbying na mikakati kinana alionekana anafaa zaidi kwenye nafasi za juu chamani ambazo hazina attention kubwa ya Wananchi wengi ambapo alifanikiwa kufanikisha mengi sana.

Baada ya Kinana kustaafu, Mwanasiasa niliyemuona kuchukua nafasi yake ni Godbless Lema. Huyu kusema kweli ni toleo jipya la Abdulrhman Kinana.

Kufanana kwa Lema na Kinana hakutokani tu na wote kutoka Arusha, sehemu inayotambulika kuwa ya vijana watafutaji bali hata namna wanavyokataa nafasi nyeti na kuchukua nafasi za mikakati kufanikisha shughuli na ajenda za vyama vyao.

Wakati siasa za Tanzania zikiingia katika hatua nyingine ya msisimko kutokana na kuibuka upya kwa Chadema, Godbless Lema amekataa nafasi za juu za kisiasa ikiwemo kugombea tena ubunge wa Arusha.

Godbless Lema amechukua nafasi ya Chief Strategist na Lobbyist wa CHADEMA. Nafasi hii imemfanya a operate behind za Shadow ila matokeo yake wote tunayaona na tutayaona sana.

Nguvu ya CHADEMA tutayoiona na tutakayoiona, the architect behind ni Godbless Lema. Huyu sasa ndo anatengeneza mipango ya Fedha ya Chama na kukiwezesha Chama kufika maeneo mengi sana.

Hongera Godbless Lema!
Wewe ndo mrithi sahihi wa Kinana kwenye siasa za Tanzania.
Mnamkweza mtu, lakini ukweli unajulikana.
 
Unamfananisha na Nabii Lema na Jangili la Meno ya Tembo?!
 
Status ya ukimbizi aliyopewa huko Canada hairuhusu kuwa kiongozi wa kisiasa la sivyo watafuta status yake hivyo huyo mchaga anataka apige pesa huku kwa nyumbu (CDM) na Canada pia. Endeleeni kupigwa tu nyinyi nyumbu msiyojua kitu!! 🤣🤣
Umefanikiwa kujichekesha
 
  • Kicheko
Reactions: Cyb
Tafadhali usiifananishe hii timu iliyowekwa na Mungu pale CHADEMA na wale nzi wa kijani wanaowaza kuliibia taifa na vyeo tu.
Wanasiasa wote wezi, km sio wezi na wao wanang’ang’ania kuchukua serikali ya nini??

Mungu yupi kawaeka hao Chadema? 😹
 
Back
Top Bottom