Oduru
JF-Expert Member
- Jul 19, 2020
- 1,175
- 2,279
Ikawaje usiseme kipindi kakuweka ndani? Mpka umeachika ndio unatoa povuLema huyu mwizi wa magari?

Mungu muumba wa mbingu na duniaWanasiasa wote wezi, km sio wezi na wao wanang’ang’ania kuchukua serikali ya nini??
Mungu yupi kawaeka hao Chadema? 😹
Wakati anaiumba yeye alikaa wapi?Mungu muumba wa mbingu na dunia
Huo mjadala anzisha uzi wako tuujadili.Wakati anaiumba yeye alikaa wapi?
Wale wahuni waliokuwa wanamtukana mbowe wamewekwa na mungu?Tafadhali usiifananishe hii timu iliyowekwa na Mungu pale CHADEMA na wale nzi wa kijani wanaowaza kuliibia taifa na vyeo tu.
Vipi nasikia huko Njombe Mwenezi wa BAWACHA mmepiga kwa sababu ya kupingana na hiyo ajenda yenu! Chama cha wahuni Chadema hakiwezi chukua nchi.Najaribu kukuonesha maeneo mengi wanayofanana.
Chama cha wahuni ChademaUmefanikiwa kujichekesha
Hakuna mtu ana akili mbovu kama LemaA man to watch, Godbless Lema!!
Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana.
Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini .
Kustaafu kwa Kinana katika siasa kulinipa wakati mgumu sana hasa katika kutafakari juu ya Mwanasiasa gani nchini ambaye atachukua nafasi yake?
Upekee wa Kinana katika siasa unatokana na namna alivyoaminiwa na kuwa Meneja wa Kampeni na kuongoza Kampeni za Marais 3 wa Tanzania katika miongo tofauti kuanzia Ben Mkapa, Jakaya Kikwete na baadae Magufuli.
Kutokana na kuwa kiungo muhimu hasa kwenye lobbying na mikakati kinana alionekana anafaa zaidi kwenye nafasi za juu chamani ambazo hazina attention kubwa ya Wananchi wengi ambapo alifanikiwa kufanikisha mengi sana.
Baada ya Kinana kustaafu, Mwanasiasa niliyemuona kuchukua nafasi yake ni Godbless Lema. Huyu kusema kweli ni toleo jipya la Abdulrhman Kinana.
Kufanana kwa Lema na Kinana hakutokani tu na wote kutoka Arusha, sehemu inayotambulika kuwa ya vijana watafutaji bali hata namna wanavyokataa nafasi nyeti na kuchukua nafasi za mikakati kufanikisha shughuli na ajenda za vyama vyao.
Wakati siasa za Tanzania zikiingia katika hatua nyingine ya msisimko kutokana na kuibuka upya kwa Chadema, Godbless Lema amekataa nafasi za juu za kisiasa ikiwemo kugombea tena ubunge wa Arusha.
Godbless Lema amechukua nafasi ya Chief Strategist na Lobbyist wa CHADEMA. Nafasi hii imemfanya a operate behind za Shadow ila matokeo yake wote tunayaona na tutayaona sana.
Nguvu ya CHADEMA tutayoiona na tutakayoiona, the architect behind ni Godbless Lema. Huyu sasa ndo anatengeneza mipango ya Fedha ya Chama na kukiwezesha Chama kufika maeneo mengi sana.
Hongera Godbless Lema!
Wewe ndo mrithi sahihi wa Kinana kwenye siasa za Tanzania.
Mkuchika hivi si bado ni Waziri mpaka sasa?Kinana ametumika sana CCM
Mkuchika ametumika mno na Tanzania
Unaugulia ukiwa wapi?Hakuna mtu ana akili mbovu kama Lema
What happened kwenye uchaguzi wa Lissu ni pure luck
Naona upepo wa Lissu unataka kumfanya Lema Mungu,but actually Lema is the most stupid one
So far hakuna cha maana ameshafanya,tone tone is a failure,akaleta unafiki wa kumpa mwenyekiti mstaafu "prado",etc
Lema amebakia kwenye what he does best,majungu,kujikweza na kulamba matako ya Lissu
Asiempenda Lema anaugua?Unaugulia ukiwa wapi?
Alikuibia gari gani wewe pimbi na chawa wa fisiemu?Lema huyu mwizi wa magari?
Mwambie ukweli huyu mpumbavu!Unaugulia ukiwa wapi?
Kwa nini unamfanya Kinana kama mfano mzuri?A man to watch, Godbless Lema!!
Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana.
Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini .
Kustaafu kwa Kinana katika siasa kulinipa wakati mgumu sana hasa katika kutafakari juu ya Mwanasiasa gani nchini ambaye atachukua nafasi yake?
Upekee wa Kinana katika siasa unatokana na namna alivyoaminiwa na kuwa Meneja wa Kampeni na kuongoza Kampeni za Marais 3 wa Tanzania katika miongo tofauti kuanzia Ben Mkapa, Jakaya Kikwete na baadae Magufuli.
Kutokana na kuwa kiungo muhimu hasa kwenye lobbying na mikakati kinana alionekana anafaa zaidi kwenye nafasi za juu chamani ambazo hazina attention kubwa ya Wananchi wengi ambapo alifanikiwa kufanikisha mengi sana.
Baada ya Kinana kustaafu, Mwanasiasa niliyemuona kuchukua nafasi yake ni Godbless Lema. Huyu kusema kweli ni toleo jipya la Abdulrhman Kinana.
Kufanana kwa Lema na Kinana hakutokani tu na wote kutoka Arusha, sehemu inayotambulika kuwa ya vijana watafutaji bali hata namna wanavyokataa nafasi nyeti na kuchukua nafasi za mikakati kufanikisha shughuli na ajenda za vyama vyao.
Wakati siasa za Tanzania zikiingia katika hatua nyingine ya msisimko kutokana na kuibuka upya kwa Chadema, Godbless Lema amekataa nafasi za juu za kisiasa ikiwemo kugombea tena ubunge wa Arusha.
Godbless Lema amechukua nafasi ya Chief Strategist na Lobbyist wa CHADEMA. Nafasi hii imemfanya a operate behind za Shadow ila matokeo yake wote tunayaona na tutayaona sana.
Nguvu ya CHADEMA tutayoiona na tutakayoiona, the architect behind ni Godbless Lema. Huyu sasa ndo anatengeneza mipango ya Fedha ya Chama na kukiwezesha Chama kufika maeneo mengi sana.
Hongera Godbless Lema!
Wewe ndo mrithi sahihi wa Kinana kwenye siasa za Tanzania.
Naomba niibe huu msemo mkuu.Umefanikiwa kujichekesha
Somaga elewa kwanza nimemlinganisha kwenyw nini?Kwa nini unamfanya Kinana kama mfano mzuri?
Hata Lema mwenyewe sifikiri kwamba atafurahi kulinganishwa na Kinana.
Umwmlinganusha kwwnye ni i? Naona madai ambayo hayana hata ushahidi.Somaga elewa kwanza nimemlinganisha kwenyw nini?
Wanafanana kwa tabia. HahahahaKwa nini unamfanya Kinana kama mfano mzuri?