Godbless Lema, The New Kinana in Tanzania Politics!! Salute kwake!!

Kati ya wajumbe wa Kamati kuu CDM. Lema namuonaga kama ni "mweupe" sana kichwani. Anyway ni mtazamo tuu.
 
Najaribu kukuonesha maeneo mengi wanayofanana.
Vipi nasikia huko Njombe Mwenezi wa BAWACHA mmepiga kwa sababu ya kupingana na hiyo ajenda yenu! Chama cha wahuni Chadema hakiwezi chukua nchi.
 
Hakuna mtu ana akili mbovu kama Lema

What happened kwenye uchaguzi wa Lissu ni pure luck

Naona upepo wa Lissu unataka kumfanya Lema Mungu,but actually Lema is the most stupid one

So far hakuna cha maana ameshafanya,tone tone is a failure,tangazo la tone tone amefanya his childish games of showing his cracked up 1960's cars,na eti kugeuka kua mwanamuziki kutoa wimbo which is terrible beyond terrible,akaleta unafiki wa kumpa mwenyekiti mstaafu "prado",etc

Lema amebakia kwenye what he does best,majungu,kujikweza na kulamba matako ya Lissu
 
Yaani anatoka kinana anakuja wasira, kweli chama Cha kijani kinapitia wakati mgumu
 
Unaugulia ukiwa wapi?
 
Kwa nini unamfanya Kinana kama mfano mzuri?

Hata Lema mwenyewe sifikiri kwamba atafurahi kulinganishwa na Kinana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…