LGE2024 Godbless Lema: Ukiona mke wako anavaa chupi ya mwanamke mwingine ambaye ametokea Marekani, hiyo nyumba ina umasikini

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kasema ukweli lakini maneno makali sana hayo

Watu wanaumia kuona kumbe wake zao wanavaa chupi za akina beyonce
 
Unavaaje chupi ya mtu jamani, mwe Unavaaje chupi ya mtuu, mwenzako kachafua na mimanii yakeee na mwengine karushia maji jaman, hv inawezekanaje jamani,
 
Nina wasiwasi na chupi ya mke wa bwana Hafidhi, inweza kuwa ya mtumba orijino.
 
Lema aanzishe viwanda vya nguo , Made in Tz,

Watz wasiponunua, ndipo aje na hizo allegations za dharau na kutwwza utu wa maskini.
 
Kafa ulaya ndipo wanaponea dada zetu-- shauri ya Mbogamboga.
 
Na humu JF wangapi wanavaa chupi zilizotoka Amerika ?😏
 
Tunahitaji watu Open minded kama hawa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…