Pre GE2025 Godbless Lema watangaza kufanya tukio kubwa Tarehe 27 Februari, 2025 ikiwemo kuzindua kampeni ya kidigitiali

Pre GE2025 Godbless Lema watangaza kufanya tukio kubwa Tarehe 27 Februari, 2025 ikiwemo kuzindua kampeni ya kidigitiali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waombe ITV, STAR, EATV,CLOUDS na TBC warushe tukio hilo mubashara.
 
Kwa mara ya kwanza waandishi wa habari hawajaukiza swali ktk mkutano wa CHADEMA.
Lema leo aliwaita waandishi wa habari ,lon cha ajabu hakuna alichowaambia badala yake kawaaambia kutakua na event itafanyika kesho kutwa.
Hakuna location , wala aim of event
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hilo la Mungu mnasingizia tu, hata kuthibitisha kwamba yupo hamuwezi.
We are not commissioned by Matthew 28 to score debating points.Our job is to get to know our savior so well that our very very presence reflects his nature.
 
We are not commissioned by Matthew 28 to score debating points.Our job is to get to know our savior so well that our very very presence reflects his nature.
Hii ni public space si kanisani au nyumbani kwako, si kila mtu anakiamini au kukikubali hicho kitabu chako.

Zaidi, ukichanganya mambo ya dini na siasa unaanza kuwagawanya watu.

Ndiyo unawapa msemo watu wanaosema CHADEMA ni chama cha Wakristo.

Unnecessary controversy.

Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom