"Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa kwanini?, kwasababu CCM ni chama makini, ni chama kinachoheshimu demokrasia, ni chama kinachozingatia demokrasia na katiba ya nchi, haijawahi katika historia ya chama cha mapinduzi kufanyika haya yaliyofanyika leo (tarehe 19/1/2025), kitu cha ajabu kabisa, ninasikitika kwamba tunawezaje kufika mahali hapa kwa wazi wazi Chama kinacho heshimu demokrasia kuwanyima Wanachama wanaotaka kugombea nafasi ya Urais wa nchi kwa mujibu wa katiba ya CCM na kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.."
Your browser is not able to display this video.
1. Kwa mahakama za Juma hupati lolote, I am sorry for this statement
Huko peke yako Malisa. Kilichotokea Dodoma ni uvunjaji wa katiba ya ccm na ni uhuni. Nchimbi mwenye tuhuma kua fisadi wa elimu kwa kujipachika Phd feki kwa wanaccm asilia ni mhuni tu. Tumeona kwa uhuni wake anazawadiwa kua mgombea mwenza.
Wajumbe wamempitisha dkt Samia Suluhu Hasana kuwa mgombea pekee kupitia CCM, hakuna zaidi ya Samia, mzee Malisa acha kupoteza muda wako bure.
Hakuna mwana CCM yeyote ambaye yuko tayari kugombea zaidi ya Samia.
kama una wivu na chuki kunywa sumu ufeeee.
Samia mitano tenaaaaaa