Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

Haina shida mwache aende kufungua kesi! Itasikilizwa miaka 2 baada ya Mama kutawazwa kuwa Rais!
 
Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.

1. Kwa mahakama za Juma hupati lolote, I am sorry for this statement

2. Naogopa ya Kibao!

Kuda kada moja Mwanadada anaitwa Mwasi aliibua hilo kiaina. Niliona ni jinsi gani Maza alipigwa bumbuazi. Kwa jinsi alivyomjibu na kumsukumia JK inaonyesha ni jinsi gani hilo la mitano tena ulikuwa ni Mpango wa Wazanzibar wawili kuhajihakikishia kuwa wanaendelea kutawala.
 
Huyu dish limeyumba, haijui Katiba ya CCM Wala ya JMT.
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais Samia anamalizia kipindi chake cha Kwanza na ataanza kipindi chake cha mwisho 2025 - 2030.
Sasa hili zee la CHADEMA Malisa atwambie lini Mgombea wa CCM katika kipindi chake cha pili alishindanishwa ndani ya chama?
 
Eti watu zaidi ya elfu moja wapige kura,afu isiwepo hata kura moja iliyoharibika na zote ziwe za ndio

Ila magufuri alifanya mengi mazuri lakin huu ujinga aliotuachia ni mbaya mno zaidi ya hayo mazuri aliyoyafanya
Bado mnamlilia marehemu......si mlishasema mmemaliza kazi kwa sasa ni kula maisha tu
 
Mkutano ule ulijumlisha Wajumbe wote,
1-Halmashauri kuu,
2-mkutano mkuu,
3-kamati kuu,
Wana haki kwa mujibu wa ibara - - b,
Kutengua kanuni, kwa sababu fulani,
N. B, kwa wasioelewa, ilionekana ni busara kufanya hili, ili iwe nafuu katika kuokoa fedha kwa vikao vya April - may, kumbuka mikutano hii hutumia fedha nyingi.
Rais Samia mitano tena.
 
Huko ccm ni mwendo wa kuwekeana sumu au kupotezana, awe makini sana.
 
Mkutano ule ulijumlisha Wajumbe wote,
1-Halmashauri kuu,
2-mkutano mkuu,
3-kamati kuu,
Wana haki kwa mujibu wa ibara - - b,
Kutengua kanuni, kwa sababu fulani,
N. B, kwa wasioelewa, ilionekana ni busara kufanya hili, ili iwe nafuu katika kuokoa fedha kwa vikao vya April - may, kumbuka mikutano hii hutumia fedha nyingi.
Rais Samia mitano tena.
Na wameturahishishia sie wasanii kuanza kutunga nyimbo za kampeni mapema maana majina tayari tunayo
 
Uteuzi tu wa Nchimbi kama katibu mkuu ilikuwa wazi ‘bi-tozo’ kajipanga kwa foul huko mbele.

It was coming (hata kama hujui itafanyika vipi). Labda cha kushangaza watu wengi hawakutegemea itakuwa ya hovyo vile.

Nchimbi huyu-huyu alieharibu gari la incumbent wa aliekuwa mmbunge wa Songea mjini, ashindwe kufika siku ya kura ya maoni na ndivyo alivyoshinda kwa mara ya kwanza.

Leo mtu huyo atakuwa na mbinu gani nyingine zaidi ya foul tu, ndicho anachojua.

Sąd lakini mungu uwa anatoa mnachotaka, aliwapa mtoto wake aliempa kipawa cha kuongoza, kila siku matusi. Sasa kawapa Samia si mnataka nchi ya kutafunwa.

“you reap, what sow’ in life; jifunze kuwa mwizi na wewe hiyo ndio Tanzania ya leo utapunguza malalamiko.

Nchi Ina deserve inachopitia.
 
Back
Top Bottom