Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SHIKA JEMBE UKALIME ENDAPO KAMA HUNA KAZI YA KUFANYA MEKUMwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.
1. Kwa mahakama za Juma hupati lolote, I am sorry for this statement
2. Naogopa ya Kibao!
Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.
1. Kwa mahakama za Juma hupati lolote, I am sorry for this statement
2. Naogopa ya Kibao!
Zamu ya wao kwa wao.
KAZI ni kipimo cha UTU
Bado mnamlilia marehemu......si mlishasema mmemaliza kazi kwa sasa ni kula maisha tuEti watu zaidi ya elfu moja wapige kura,afu isiwepo hata kura moja iliyoharibika na zote ziwe za ndio
Ila magufuri alifanya mengi mazuri lakin huu ujinga aliotuachia ni mbaya mno zaidi ya hayo mazuri aliyoyafanya
Yupo nje ya nchi huyu hawez kuchezea uhai wake hvAwe makini sana na pumzi yake
Kesi ya Mpina na Bashe imeishia wapi?Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.
1. Kwa mahakama za Juma hupati lolote, I am sorry for this statement
2. Naogopa ya Kibao!
View attachment 3208448
Arudi tuu afungue kesi.Yupo nje ya nchi huyu hawez kuchezea uhai wake hv
Mahakama ikiwa upande wako basi,kurud Kwa Kristo ku karbu mno...Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli.
1. Kwa mahakama za Juma hupati lolote, I am sorry for this statement
2. Naogopa ya Kibao!
View attachment 3208448
Ushauri wa Mzee umezingatiwa Sasa kanuni gani zimevunjwa? 👇👇Akifika Pasaka huyu akiwa anapumua nitabadili ID
Na wameturahishishia sie wasanii kuanza kutunga nyimbo za kampeni mapema maana majina tayari tunayoMkutano ule ulijumlisha Wajumbe wote,
1-Halmashauri kuu,
2-mkutano mkuu,
3-kamati kuu,
Wana haki kwa mujibu wa ibara - - b,
Kutengua kanuni, kwa sababu fulani,
N. B, kwa wasioelewa, ilionekana ni busara kufanya hili, ili iwe nafuu katika kuokoa fedha kwa vikao vya April - may, kumbuka mikutano hii hutumia fedha nyingi.
Rais Samia mitano tena.
😂😂😂Na wameturahishishia sie wasanii kuanza kutunga nyimbo za kampeni mapema maana majina tayari tunayo
Tena Juma Ambaye Yupo Kwenye Nyongeza Ya KaziCCM kabisa unaipeleka mahakamani?