MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Je akija kwenu na kuleta posa ili akuoe utakubali?Na nitawadharau zaidi Wanachama wa Simba SC kama wakimpigia Kura ya Cheo chochote ndani ya Simba SC Godfrey Nyange Kaburu.
Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Umeacha usagaji mkuu?Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi.
Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Utaishia kupiga kelele huku hizi essay zako hazina impact yoyoteNa nitawadharau zaidi Wanachama wa Simba SC kama wakimpigia Kura ya Cheo chochote ndani ya Simba SC Godfrey Nyange Kaburu.
Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Acha majungu wewe! Geofrey Nyange Kaburu ana mchango mkubwa sana kwenye klabu ya simba, kuliko wewe ambaye kazi yako kubwa humu jukwaani ni kulia lia tu na kutukana watu hovyo; kupitia ID zako fake.Na nitawadharau zaidi Wanachama wa Simba SC kama wakimpigia Kura ya Cheo chochote ndani ya Simba SC Godfrey Nyange Kaburu.
Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Hakuna wa kumzuiaKaburu ndiyo kiongozi wetu hapa Simba mtake msitake.
Hamjui kaburu huyo,amehadithiwa, perez ndo mtu sahihi, ht km katiba haina menoAcha majungu wewe! Geofrey Nyange Kaburu ana mchango mkubwa sana kwenye klabu ya simba, kuliko wewe ambaye kazi yako kubwa humu jukwaani ni kulia lia tu na kutukana watu hovyo; kupitia ID zako fake.
Kaburu ni unstoppable hatishiki wala hatetereki.hakuna wa kumzuia, ,
Baada ya kifo cha hans pope,mtu pekee anaeweza kufanya km hans ni kaburu nyangeKaburu ni unstoppable hatishiki wala hatetereki.
Mimi nitakuwa Mshenga wa KaburuJe akija kwenu na kuleta posa ili akuoe utakubali?
Wanapokezana kucomment utopolo wao na wanajiona wajanja.Bahati nzuri hakuna hata mmoja mwenye uwezo hata wa kupiga kura.Mbona wanaomtetea Kaburu ni wala mihogo tu? Mimi sina data zake ila kwa gongowazi kumshabikia naweza kukubaliana na mleta hoja.
Kaburu mpiga dili sana halafu ana damu ya kiutopolo mvurugaji sanaMbona wanaomtetea Kaburu ni wala mihogo tu? Mimi sina data zake ila kwa gongowazi kumshabikia naweza kukubaliana na mleta hoja.
Iwe isiwe lazima Sisi makolo tusimame na kaburu kwa maendeleo mapana ya kikundi chetu cha makolo ambao tunapenda sana ushirikinaKaburu mpiga dili sana halafu ana damu ya kiutopolo mvurugaji sana