Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi.

Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
 
Kama kuna Mtu hapa JamiiForums ana Urafiki na Godfrey Nyange Kaburu amuambie upesi kuwa MINOCYCLINE namuonya aachane na Mpango huo kwani nitamuanika na kuyaanika Mabaya yake aliyowafanyia wana Simba SC Kipindi chake.

Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
 
Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi.

Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Umeacha usagaji mkuu?
 
Na nitawadharau zaidi Wanachama wa Simba SC kama wakimpigia Kura ya Cheo chochote ndani ya Simba SC Godfrey Nyange Kaburu.

Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Acha majungu wewe! Geofrey Nyange Kaburu ana mchango mkubwa sana kwenye klabu ya simba, kuliko wewe ambaye kazi yako kubwa humu jukwaani ni kulia lia tu na kutukana watu hovyo; kupitia ID zako fake.
 
Back
Top Bottom