Godlisten Malisa akamatwa tena na Jeshi la Polisi na kusafirishwa mkoani Kilimanjaro

Godlisten Malisa akamatwa tena na Jeshi la Polisi na kusafirishwa mkoani Kilimanjaro

Kesi namba 11805/2024 inayomkabili aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob na Godlisten Malisa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Saalam limeahirishwa hadi tarehe 04 Julai 2024 ambapo usikilizwaji wa awali wa shauri hilo utaanza.

Baada ya kesi hiyo kuahirishwa, Jeshi la Polisi limemkamata Godlisten Malisa kwa kile walichodai ana shitaka jipya mkoani Kilimanjaro. Asubuhi hii Jeshi hilo limeanza safari ya kumpeleka Mkoani Kilimanjaro.
images - 2024-06-06T105638.717.jpeg

Pia soma
- Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

- Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

- Utata sakata la ndugu wa Boniface Jacob: Kupotea mpaka kukutwa mochwari ya polisi, Amana wapigilia msumari!

- Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

- Hatimaye Malissa na Boniface Jackob waachiwa kwa dhamana

Sababu ya Malisa kupelekwa Kilimanjaro soma:

- Adolf Mkenda atajwa kuwa chanzo cha Godlisten Malissa kukamatwa tena

- Aliyemchoma Mwanamke visu 25 na kumsababisha Kifo afariki dunia akiwa chini ya ulinzi
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro nyumbani kwao kwa Upekuzi., Kesi yao hii ya Uchochezi ilipangwa kuanza leo kwenye Mahakama ya Kisutu .

Inadaiwa Bwana Malissa ana Shitaka lingine Jipya, ukiacha yale ya awali ya Uchochezi na kuzua Taharuki

Screenshot_2024-06-06-10-19-31-1.png

Usiondoke JF
 
Kesi namba 11805/2024 inayomkabili aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob na Godlisten Malisa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Saalam limeahirishwa hadi tarehe 04 Julai 2024 ambapo usikilizwaji wa awali wa shauri hilo utaanza.

Baada ya kesi hiyo kuahirishwa, Jeshi la Polisi limemkamata Godlisten Malisa kwa kile walichodai ana shitaka jipya mkoani Kilimanjaro. Asubuhi hii Jeshi hilo limeanza safari ya kumpeleka Mkoani Kilimanjaro.
wacha wanyooshwe wakome hao wachochezi
 
Kutetea Haki ni gharama sana, historia ndivyo inavyotufundisha. Angalia hata wapigania Uhuru nini kiliwakuta, ni taabu tupu. Yote kwa yote, Mungu yupo tutashinda tu kwa sababu uovu haushindi hata siku moja.
 
Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro nyumbani kwao kwa Upekuzi....
Ni vizuri akawajibika kwa makosa yake, hakuna namna nyingine. sheria ni msumeno. :whatBlink:
 
Huyu mchaga ana dharau sana, alianza kutoa vimeseji vya kutukana viongozi kwa dharau kubwa, yaani bado hajasema.

Hajui kwamba kuna post alitoa akimsingizia Waziri kuhusika na kumficha muuwaji huko Rombo. Watu wakamkaushia tu, sasa ataenda kumenya karanga kwenye mtondoo huko Gereza la Karanga. Na jimbo analolitaka atalipata akiwa segere matata, hukumu 2025 August 2025
 
Back
Top Bottom