Godlisten Malisa akamatwa tena na Jeshi la Polisi na kusafirishwa mkoani Kilimanjaro

Godlisten Malisa akamatwa tena na Jeshi la Polisi na kusafirishwa mkoani Kilimanjaro

Huyu mchaga ana dharau sana, alianza kutoa vimeseji vya kutukana viongozi kwa dharau kubwa, yaani bado hajasema.

Hajui kwamba kuna post alitoa akimsingizia Waziri kuhusika na kumficha muuwaji huko Rombo. Watu wakamkaushia tu, sasa ataenda kumenya karanga kwenye mtondoo huko Gereza la Karanga. Na jimbo analolitaka atalipata akiwa segere matata, hukumu 2025 August 2025
Kuna ulazima wa kutaja mchagga
 
Uhuru wa mtandaoni bado ni mdogo sana Tz. Sitetei lakini just imagine mtu kakutwa na case ya kusambaza taarifa za uongo lakini anaenda kupekuliwa nyumbani kwake, how?🤔. Hii ndiyo maana binafsi naona ipo haja kubwa sana ya bunge kutunga sheria inayohusiana na Usalama Mtandaoni (Cybersecurity Act) kwaajili ya kutulinda wananchi tutumiapo mitandao.

You can also read: Thread: "SAUTI YA KESHO: Safari ya Uhuru Katika Vyombo vya Habari na Mtandao Tanzania".
 
Unaokata pande zote au upande mmoja? Iko wapi kesi ya kijana wa CCM Aliyetamka hadharani kupoteza maisha ya watu??
hakuna haja ya kubabaika,
unatakiwa polisi au mahakamani nenda ukajieleze yaishe 🐒

hii habari sijui nani yuko wap alifanya nini, ibaki tu kua perceptions yako tu... lakini Ikisadikika kuna mashaka dhidi yako juu ya masuala mbalimbali Lazima uwajibike 🐒
 
Uhuru wa mtandaoni bado ni mdogo sana Tz. Sitetei lakini just imagine mtu kakutwa na case ya kusambaza taarifa za uongo lakini anaenda kupekuliwa nyumbani kwake, how?🤔. Hii ndiyo maana binafsi naona ipo haja kubwa sana ya bunge kutunga sheria inayohusiana na Usalama Mtandaoni (Cybersecurity Act) kwaajili ya kutulinda wananchi tutumiapo mitandao.

You can also read: Thread: "SAUTI YA KESHO: Safari ya Uhuru Katika Vyombo vya Habari na Mtandao Tanzania".
uelewa na ufahamu mdogo juu ya mambo haya ni changamoto pia 🐒
 
Back
Top Bottom