Godlisten Malisa akamatwa tena na Jeshi la Polisi na kusafirishwa mkoani Kilimanjaro

Kuna ulazima wa kutaja mchagga
 
Uhuru wa mtandaoni bado ni mdogo sana Tz. Sitetei lakini just imagine mtu kakutwa na case ya kusambaza taarifa za uongo lakini anaenda kupekuliwa nyumbani kwake, how?πŸ€”. Hii ndiyo maana binafsi naona ipo haja kubwa sana ya bunge kutunga sheria inayohusiana na Usalama Mtandaoni (Cybersecurity Act) kwaajili ya kutulinda wananchi tutumiapo mitandao.

You can also read: Thread: "SAUTI YA KESHO: Safari ya Uhuru Katika Vyombo vya Habari na Mtandao Tanzania".
 
Safari ya kurudisha wana wa kanani misri imeanza tena nini?
 
Vijana hebu nendeni polepole, watu wenu wa karibu watahangaika tu bure
 
Unaokata pande zote au upande mmoja? Iko wapi kesi ya kijana wa CCM Aliyetamka hadharani kupoteza maisha ya watu??
hakuna haja ya kubabaika,
unatakiwa polisi au mahakamani nenda ukajieleze yaishe πŸ’

hii habari sijui nani yuko wap alifanya nini, ibaki tu kua perceptions yako tu... lakini Ikisadikika kuna mashaka dhidi yako juu ya masuala mbalimbali Lazima uwajibike πŸ’
 
uelewa na ufahamu mdogo juu ya mambo haya ni changamoto pia πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…