Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
UPDATE:
Malisa yupo salama

2856551C-CD77-4F95-BF91-88F21F078AC9.jpeg


1552155892366.jpeg



Habari tulizozipata hivi punde Malissa anashikiliwa na watu wasiojulikana, wamfuata nyumbani kwake Mbezi Beach

1552160086430.jpeg

Watu wanaodaiwa ni Maafisa wa Usalama wa Taifa wamemvamia Godlisten Malissa maeneo ya Mbezi Beach.

Chochote kitakacho tokea juu ya Godlisten wao ndio watakua na majibu.

=======

UPDATES;

Anaandika Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema

Kamanda Malisa Godlisten yuko salama. Ni kweli nyumba alipokuwa ilivamiwa na watu waliojitambulisha kuwa Ni maafisa usalama wakiwa na silaha, wamefanya upekuzi wao na wameondoka na watu 2 ila Malisa yuko salama. Nimeongea naye.


Malisa Godlisten said:
Tumefuatwana watu waliojitambulisha kuwa askari usiku huu na kuwekwa chini ya ulinzi kwa muda. Nilimjulisha Boniface Jacob ambaye amefika, na baada ya upekuzi 'askari' hao wameondoka. Tupo salama. Nawashukuru wote kwa kujali.!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom