Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Hakuna akili ni ujinga tu. Hicho chombo kimebadilishiwa matumizi na sasa kinatumiwa hovyo. No situation lasts for ever.
 
Kuwa na MAARIFA haimaanishi umesoma sana. hv toka lini utekwe alafu muda huo taarifa ziwe mtandaoni alafu hao watekaj wakuache utumie simu eti umetekwa? Siasa za tz ziko cheap sana wanasiasa wanajua kucheza na akili zetu tusipo jitambua tutachezewa sana akil zetu.Haihtaji kuwa na elimu kubwa kutambua what's going on.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom