Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
View attachment 1041855


Habari tulizozipata hivi punde Malissa anashikiliwa na watu wasiojulikana, wamfuata nyumbani kwake Mbezi Beach
Miaka ya 70 hadi 80 kule Latin America kulikuwa na Desaparecidos. Waliopotezwa. Ilikuwa wakati wa tawala za kijeshi akina Augusto Pinochet wakiwa kwenye kilele chao.
Muda ulifika zile tawala ziliondoka kwa njia mbalimbali.

Haya ya kwetu yatapita na kila kitu kitakuja kuwa wazi. Watesi wetu watakuja kusema. Wengine wakidai walikuwa wanatumwa tu.
 
Naona vijana wanaanza kujitengenezea majina kwa ajiri ya uchaguzi ujao!!
 
Jirani kaondoka tu yameanza haya tena,tuombe sana Mungu sijui maagizo gani,wangezuga kuruhusu hata kuongea na wana habari kuliko kuingia na kuondoka kimya kimya uleta shaka
 
Ya Ben Saa8 nayo yalianza hivi hivi, tumuombee uzima kijana.
 
Mungu aepushie mbali awe amekamatwa na polisi. babaake polisi watalizana
 
alishiriki kura za maoni moshi vijijini pia ni kada na yupo active mitandaoni (mikutano si imezuiwa) na kutokana na kabila lake yupo karibu na mwenyekiti
Bora wewe umenielewesha vizuri kuliko toto moja linafikiri wote tuko huko au kwenye siasa
Thanks

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom