Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
View attachment 1041855

Habari tulizozipata hivi punde Malissa anashikiliwa na watu wasiojulikana, wamfuata nyumbani kwake Mbezi Beach
Watu wasiojuliakana wakija nyumbani si majambazi? Na kama waliondoka naye, kwa mtu kama yeye anafahamu fika kuhusu wasiojulikana maana alikuwa rafiki mkubwa wa Ben Saanane.

Ama amevamiwa nyumbani na kutekwa?
 
Weka ushahidi kuwa ni watu wa usalama ndio wamehusika...

Ifike mahali tusiwe watu wa kuhukumu. Tuache vyombo vya ulinzi vifanye kazi yake then vitakuja na ripoti kujua ni kwanini alipotea...
BringBackOurMalisaGJ
 
Ni kweli Malisa GJ amevamiwa nyumbani na watu wa usalama wa Taifa wameondoka naye
Wamejitambulisha kuwa ni wausalama? Waliondoka naye kwa kumlazimisha? Bila balozi is a nyumba kumi au mwenyekiti wa mtaa?
 
Waziri kivuli wa mambo ya ndani anasema amezungumza na Malisa, wengine huku mnatuambia ameshikiliwa na watu wasiojulikana.

Nani tumsikilize?
 
Watu wasiojuliakana wakija nyumbani si majambazi? Na kama waliondoka naye, kwa mtu kama yeye anafahamu fika kuhusu wasiojulikana maana alikuwa rafiki mkubwa wa Ben Saanane.

Ama amevamiwa nyumbani na kutekwa?
Wamemchukua hawakumteka
 
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Arusha mjini Godbless Lema

Nimeongea na Godlisten Malisa,kuhusu uvamivi uliofanywa na watu wanaoitwa maafisa usalama wakiwa na silaha za moto mbali mbali,nimeweza kupeleka concern hii kwa Waziri Kange Lugola kama Waziri mambo ya ndani,amehaidi kufuatilia.Tusilale uhai wake na ndugu zake ni uhai wetu.
Screenshot_20190309-221625.png
 
Watu wasiojuliakana wakija nyumbani si majambazi? Na kama waliondoka naye, kwa mtu kama yeye anafahamu fika kuhusu wasiojulikana maana alikuwa rafiki mkubwa wa Ben Saanane.

Ama amevamiwa nyumbani na kutekwa?
Kuna mada humu aliongelea namna ya kuwakimbia wasio julikana wakitaka kukuteka

Leo naona wamembeba kama Mwewe anavyopita na vifaranga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka ushahidi kuwa ni watu wa usalama ndio wamehusika...

Ifike mahali tusiwe watu wa kuhukumu. Tuache vyombo vya ulinzi vifanye kazi yake then vitakuja na ripoti kujua ni kwanini alipotea...
Vyombo vipi vya ulinzi ? Ni hivi Magufuli aliyesema juzi tu kuhusu Mo na kunywa chai na Mambosasa ? Au ni hivi visivyojua walio mpiga risasi Lisu ? Walio mteka Ben Saanane ,Azory Gwanda ?

Ni hawa waliompiga Risasi Akwilina kisha kina Mbowe wakapewa kesi ya mauji ?

Ningekuwa karibu na wewe saa hizi ungekuwa ushalowa shahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna waliokuwa nae ndiyo wametusha habari.
Duh! Akaondokaje nao kama hawakumlazimisha? Kwasababu inategemea na walivyojitambulisha. Polisi ki kawaida lazima wamjulishe kiongozi husika wa hapo anapoishi. Na hapo ni endapo kuna RB. Sasa yeye anafahamu fika issue za kutekwa hata Ben Saanane alikuwa rafiki wake wa karibu. Anafahamu kuhusu Azory Gwanda, maana waliondoka naye kwa style hii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom