Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Weka ushahidi kuwa ni watu wa usalama ndio wamehusika...
Ifike mahali tusiwe watu wa kuhukumu. Tuache vyombo vya ulinzi vifanye kazi yake then vitakuja na ripoti kujua ni kwanini alipotea...
Vyombo vya usalama ndio hivyo rais mwenyewe haviamini. Watanzania sio wajinga.