Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Weka ushahidi kuwa ni watu wa usalama ndio wamehusika...

Ifike mahali tusiwe watu wa kuhukumu. Tuache vyombo vya ulinzi vifanye kazi yake then vitakuja na ripoti kujua ni kwanini alipotea...

Vyombo vya usalama ndio hivyo rais mwenyewe haviamini. Watanzania sio wajinga.
 
Duh! Akaondokaje nao kama hawakumlazimisha? Kwasababu inategemea na walivyojitambulisha. Polisi ki kawaida lazima wamjulishe kiongozi husika wa hapo anapoishi. Na hapo ni endapo kuna RB. Sasa yeye anafahamu fika issue za kutekwa hata Ben Saanane alikuwa rafiki wake wa karibu. Anafahamu kuhusu Azory Gwanda, maana waliondoka naye kwa style hii.
Ndiyo maana wametaka hii habari ienee kwenye mitandao ya kijamii. Yaliyomkuta Ben hatukuyajua kwasababu walichukuliwa kimya kimya
 
Mmeona namns ya kuzima story ya Lowassa kule Arusha ni kumficha mwenzenu halafu mnaanza kulia kulia katekwa!
 
Anaandika Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema
Kamanda Malisa Godlisten yuko salama. Ni kweli nyumba alipokuwa ilivamiwa na watu waliojitambulisha kuwa Ni maafisa usalama wakiwa na silaha, wamefanya upekuzi wao na wameondoka na watu 2 ila Malisa yuko salama. Nimeongea naye.
 
Siku zote malisa anaikashifu selikali yaani ujinga wake hautofautiani na mage kimambi
Hiki kimekuwa kichaka sasa, kila kitu kukashifu, mara matusi.... Kwa nini hizo hoja zisijibiwe? Juzi Mhe rais kaekeza watanzania siyo wajinga kwa mambo yanayofanywa na polisi, kitu ambacho ni sahihi kabisa!! Ingekuwa kasema mwingine tayari ungesikia anaichafua serikali, acheni hizooo.... Watu siyo wajinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala wa magufuli umejaa maovu na vitisho vingi sana kwa raia wasio na hatia

Nchi inalazimishwa kumuabudu mtu mmoja tu kama vile nchi iliyojaa maiti!

Hakika Magufuli atakumbukwa kwa kuongoza nchi kibabe mno hadi raia wa kawaida wanaishi kwa hofu kuu

Rais gani asiyekemea mauaji, uvamizi na maovu mbalimbali yanayotendwa na vyombo vya usalama!
 
mawee.!! mwafwaa

INA maana Edo kurudi nyumbani na mafuriko yake sio ushindi

pamoja na kupanga timu
bado wanamsajili MALISA kinguvu.

Kwani MALISA amefunga magoli mangapi msimu huu hadi awe hatare kiivyoo?
 
Mmmh! Tanzania eeh! Nchi yangu eeh! .....
 
View attachment 1041855


Habari tulizozipata hivi punde Malissa anashikiliwa na watu wasiojulikana, wamfuata nyumbani kwake Mbezi Beach

View attachment 1041916
Anaitwa Godlisten Malisa na siyo Godbless Malisa.

Kwahiyo baba hajamwaga damu za watu muda ameona aanze tena!

Hakika jiwe atakumbukwa kwa kumwaga damu nyingi sana za watu wasio na hatia

Jiwe ni laana katika nchi hii
 
Tangu utawala huu wa awamu ya 5 umeanza, vyombo hivi vinavyoitwa vya usalama vimegeuka kuwa magenge ya kihuni na wauaji ndio maana watanzania hushuka sana mtu kuwa mikononi mwao

Shida wameacha kuchukua watu smart wamechukua watoto wa makada na mauvccm hawa vimodo wavaaa milegezo hawana maadili ya taaluma ya Kazi.Ndio wameharibu idara
 
Anaitwa Godlisten Malisa na siyo Godbless Malisa.

Kwahiyo baba hajamwaga damu za watu muda ameona aanze tena!

Hakika jiwe atakumbukwa kwa kumwaga damu nyingi sana za watu wasio na hatia

Jiwe ni laana katika nchi hii
Jana mabalozi waliambiwa waufyate kama wana issue waongee na Kabudi lakini si tweeter au Facebook.
 
Huyu dogo tusipo mwekea ulinzi tutampoteza kama Bensaa8

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom