Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Hawana uwezo wa kujibu hoja wakizidiwa ni kuteka sijui watawateka watz wote 2020 watakapo taka hoja zao zijibiwe.
 
Wameondoka na watu wawili lakini Malisa yuko salama 🙄Maadamu Malisa yuko salama watu wawili waliondoka na wanausalama si issue hawana thamani ??.
 
Da haya mapandikizi yanatuvurugia nchi yetu atukuwahi ona huko nyuma. Machinga na Lubuva Mungu anawaona shida mliyotuletea tangu Uhuru hakukuwahi kuwa ña haya.
 
alikuwa mikono salama wananchi msijali sana,hii nchi ni ya amani,hata hivyo siku ingine muwe mnafuatilia kujua mwenzenu anaenda wapi,sio kurush mtandaoni,sasa wangekuwa watu wenye nia mbaya si ingekuwa ndo imetoka?,bodaboda ziko kila uchochoro lakini hakuna mtu anakuwa na akili ya kudandia moja na kufukuzia kuona mwenzako anapelekwa wapi,au mnaogopa gharama?
 
Wameondoka na hao wawili.ili.wajifanye wamewahoji na wameambiwa mhusika ni malisa watarudi kujakumchukua malisa
 
Malisa ni mkosoaji mkubwa wa Sera mbovu na za hovyo za rais Magufuli, hivyo ni jambo la kushukuru Mungu sana maana utawala huu umejaa maovu matupu kwa wakosoaji wa serikali

Taifa linalazimishwa kufikiri na kutenda sawa kama vile ni taifa la wendawazimu!

Lazima ifike mahali rais atambue kuwa hata wakosoaji wake wana haki sawa na wale wasifiaji/washangiliaji wake
 
alikuwa mikono salama wananchi msijali sana,hii nchi ni ya amani,hata hivyo siku ingine muwe mnafuatilia kujua mwenzenu anaenda wapi,sio kurush mtandaoni,sasa wangekuwa watu wenye nia mbaya si ingekuwa ndo imetoka?,bodaboda ziko kila uchochoro lakini hakuna mtu anakuwa na akili ya kudandia moja na kufukuzia kuona mwenzako anapelekwa wapi,au mnaogopa gharama?

Kelele zilimuokoa Roma,Mo, Kipanya,Ney wa Mitego,Nondo,mwewe akaachia kifaranga Ben,Azory, Kanguye walichelewa kutoa taarifa ili watu wapige kelele juu ya mwewe.Shida watu wachonganishi wenye nia ovu utumia mwanya huo huoo ulioshindwa kudhibitika mwanzo
 
As long as JIWE ameshamsikia wewe kinyamkera au kikaragosi cha lumumba si lazima umsikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi nyie watu mitandao hii mnafikiri ilifunguliwa kwa ajili ya walioko Tanzania tu au ndio ushamba huo
Unajua kuna watu wako duniani kote na wanatumia huu mtandao kwa kusoma mambo mengine mbali na aiasa za kijinga hizi
Wakati mwingine uwe unatumia akili kidogo tu kujua kuwa kuna wengine wako Tokyo, Paris na hata Abuja

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ulinzi kwake ni muhimu
Nadhan ni mida sasa kwa malisa afuate taratibu zote za umiliki wa silaha. Naona utayari pia kuwa na uamuzi wa kuyafuta maisha ya wavamizi wa aina hii... Iweje MTU umelala tena usiku mkubwa wanajitokeza watu... Nadhan tuwaite majambazi ati wanakuamuru ufungue mlango... Ili halafu wafanyeje??? Hatari Sana hii...

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
 
Si kwamba tunafurahi mtu yeyote kupotea, la hasha! Ila tukio hili la Malisa huenda ni katika kupunguza taharuki iliyosababishwa na Lowassa kuhama.

Mambo kama haya si mageni na yamewahi kutokea mara nyingi humu nchini.

Je, pale airport, yule jamaa ambaye hakuwepo siku ile, alikuwa anamalizie kuandaa movie?
 
Dikteta na mwanaye Bashite VYETI FAKE wanahusika na hili. Kuna mtu aliandika hapa juzi akituonya tutegemee kusikia tukio la kutisha kwa bashite kutokuwepo kwa Bashite airport kumuaga dikteta kagame.
Kuna mtu katoka mahabusu. Kwa hiyo, drama zimeanza. Tutegemee kusikia mengi sana kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa, uchaguzi wa ndani ya chama chetu na ule uchaguzi wa 2020. Watu watatekwa, wataumizwa na mpaka kuuawawa. Nashauri atafutiwe kesi ya kumrudisha ndani ili watu waishi kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom