Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameondoka na watu wawili? Kutoka nyumbani kwa Malisa? ni akina nani hao?Wameondoka na hao wawili.ili.wajifanye wamewahoji na wameambiwa mhusika ni malisa watarudi kujakumchukua malisa
alikuwa mikono salama wananchi msijali sana,hii nchi ni ya amani,hata hivyo siku ingine muwe mnafuatilia kujua mwenzenu anaenda wapi,sio kurush mtandaoni,sasa wangekuwa watu wenye nia mbaya si ingekuwa ndo imetoka?,bodaboda ziko kila uchochoro lakini hakuna mtu anakuwa na akili ya kudandia moja na kufukuzia kuona mwenzako anapelekwa wapi,au mnaogopa gharama?
Hivi nyie watu mitandao hii mnafikiri ilifunguliwa kwa ajili ya walioko Tanzania tu au ndio ushamba huoAs long as JIWE ameshamsikia wewe kinyamkera au kikaragosi cha lumumba si lazima umsikie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan ni mida sasa kwa malisa afuate taratibu zote za umiliki wa silaha. Naona utayari pia kuwa na uamuzi wa kuyafuta maisha ya wavamizi wa aina hii... Iweje MTU umelala tena usiku mkubwa wanajitokeza watu... Nadhan tuwaite majambazi ati wanakuamuru ufungue mlango... Ili halafu wafanyeje??? Hatari Sana hii...
Siku atakayotekwa ndugu yako ndio utajua kwani Arusha nini cha ajabu? Lowassa ameamua kunusuru mali zakeMmeona namns ya kuzima story ya Lowassa kule Arusha ni kumficha mwenzenu halafu mnaanza kulia kulia katekwa!
Kuna mtu katoka mahabusu. Kwa hiyo, drama zimeanza. Tutegemee kusikia mengi sana kuelekea Uchaguzi wa Serikali za mitaa, uchaguzi wa ndani ya chama chetu na ule uchaguzi wa 2020. Watu watatekwa, wataumizwa na mpaka kuuawawa. Nashauri atafutiwe kesi ya kumrudisha ndani ili watu waishi kwa amani.Dikteta na mwanaye Bashite VYETI FAKE wanahusika na hili. Kuna mtu aliandika hapa juzi akituonya tutegemee kusikia tukio la kutisha kwa bashite kutokuwepo kwa Bashite airport kumuaga dikteta kagame.
Aiseee sipajui.
Nikikumbuka ya Ben SAA Nane naishiwa nguvu
Busha, mbavu zako na weweSasa kamanda unaishiwa nguvu bado mapema hivi.kwe,,,kwe,,,kwe,,ahaaa mbavu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie wewe kama unawajua. Maana hatujawahi kuambiwa ni kina nani.?Zwazwa wewe na MO, ROMA na ile miili ya wafu iliyookotwa ufukweni wahusika ni nani?
Ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kuandika upuuzi kama huu.