Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

Wafrika wamekaririshwa ujinga sana kujenga msikiti au kanisani ni sehemu ya maendeleo? Ingejengwa Hospital, shule au kutoa misaada kwa watu hapo ningemuelewa. Shida ya watu wanaabudu dini kuliko Mungu na matokeo yake wanafikiri Mungu yupo msikitini au kanisani.
Mzungu na Mwarabu wameharibu akili ya mwafrika. Jina la uzi lilivyoandikwa duh! inaonekana mtoa uzi alikuwa ana haraka sana ya kupost.
MM HUWA SIAMINI KATIKA DINI YOYOTE. UKIWA MDINI NI SAWA NA MCHAWI. LAZIMA UWABAGUE WENZAKO NA UUE KULINDA IMANI YAKO.
Umerusha jiwe gizani, sikiliza kilio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhan kama ujenzi wa misikiti na makanisa ni sehemu ya maendeleo au uhitaji, maana unaweza kusali/kuswali popote hata chin ya mti

Pia msikiti au kanisa, ujenge au usjenge lazima utajengwa tu

Kwa maoni yangu, maendeleo yaelekezwe kwemye huduma za msingi za kibinadamu

Mfano: katika shule, hospitali, maji, n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Hv unaitendea haki hyo verified member?
 
Back
Top Bottom