Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

Unapokosa maarifa unakosa msimamo kama Tundu Lissu. Hivi sasa anatamani akawatetee akina Seth mahakamani.
Tatizo hamtaki kusikia wala kusoma, jibu hoja zake kama zipo, usiangalie mtu anatoa hoja.
 
Pole zake kwa maswahibu hayo yaliyompata.
 
BREAKING NEWS

NYUMBA YA MALISSA GJ IMEVAMIWA MUDA HUU NA WATU WASIOJULIKANA.

Wako hapo mpk muda huu wakilazimisha milango ifunguliwe hili waingie ndani

Msaada tafadhali
_______

Update
Habari makamanda...

Malisa yupo salama..

tuliwasiliana nae mpk mida ya saa kumi alfajiri na kutokana na uchunguzi wa swali iligundulika kua ni majambazi, anapoishi pembeni yake kuna godown na mida hiyo kuna gari ilikuja kupakia mizgo, sasa inasemekana jamaa walikua wanafuatilia hilo gari, bado hatujajua dhamira yao mpaka kwenda kwa Malisa.

Mwenyekiti wetu mkoa wa Tabora aliwasiliana na RPC mkoa na akaagiza OCD vijana wake waende kwa Malisa, kama mjuavyo kua watu wa usalama wanamtafuta kwa muda mrefu, hivyo tukakubaliana kua asikubali kutoka na ikiwezekana azime simu zake zote halafu asubuhi hii tutajua nini la kufanya tukiwa wote.

Nadhan kwa ufupi nimewaondo hofu ya swali.

=======

Habari :
Kumekuwa na taharuki tangu jana, baada ya kutoka kwa taarifa ya kuvamiwa kwa mwenyekiti wa UTG, na kada wa chadema, kamanda Malisa GJ. Taarifa hizo ni za kweli, na polisi walifika usiku wa Saa 9 kutoa msaada. Leo asubuhi tumewasiliana na RPC na ametoa maelezo nini kifanyike. Hivyo hadi muda huu Malisa yupo salama na anashughulika na utaratibu wa kipolisi.

Imetolewa na :-
Noel Shao
N/Katibu Mkuu UTG.

Katika shida Polisi wanapigiwa simu kuombwa msaada, hali ikiwa shwari wanatukanwa matusi ya ajabu.

Tujenge utaratibu wa kuheshimiana.
 
Yaani ndio ameoa juzi tu hapa hamtaki afaidi maisha ya ndoa...nyie watu msiojulikana acheni hizo mambo za Ajabu..

[HASHTAG]#StayWell[/HASHTAG] Malisa Godlisten
 
Habari makamanda...

Malisa yupo salama..

tuliwasiliana nae mpk mida ya saa kumi alfajiri na kutokana na uchunguzi wa swali iligundulika kua ni majambazi, anapoishi pembeni yake kuna godown na mida hiyo kuna gari ilikuja kupakia mizgo, sasa inasemekana jamaa walikua wanafuatilia hilo gari, bado hatujajua dhamira yao mpaka kwenda kwa Malisa.

Mwenyekiti wetu mkoa wa Tabora aliwasiliana na RPC mkoa na akaagiza OCD vijana wake waende kwa Malisa, kama mjuavyo kua watu wa usalama wanamtafuta kwa muda mrefu, hivyo tukakubaliana kua asikubali kutoka na ikiwezekana azime simu zake zote halafu asubuhi hii tutajua nini la kufanya tukiwa wote.

Nadhan kwa ufupi nimewaondo hofu ya swali.

Copied somewhere
Nadhan ni mida sasa kwa malisa afuate taratibu zote za umiliki wa silaha. Naona utayari pia kuwa na uamuzi wa kuyafuta maisha ya wavamizi wa aina hii... Iweje MTU umelala tena usiku mkubwa wanajitokeza watu... Nadhan tuwaite majambazi ati wanakuamuru ufungue mlango... Ili halafu wafanyeje??? Hatari Sana hii...
 
BREAKING NEWS

NYUMBA YA MALISSA GJ IMEVAMIWA MUDA HUU NA WATU WASIOJULIKANA.

Wako hapo mpk muda huu wakilazimisha milango ifunguliwe hili waingie ndani

Msaada tafadhali
_______

Update
Habari makamanda...

Malisa yupo salama..

tuliwasiliana nae mpk mida ya saa kumi alfajiri na kutokana na uchunguzi wa swali iligundulika kua ni majambazi, anapoishi pembeni yake kuna godown na mida hiyo kuna gari ilikuja kupakia mizgo, sasa inasemekana jamaa walikua wanafuatilia hilo gari, bado hatujajua dhamira yao mpaka kwenda kwa Malisa.

Mwenyekiti wetu mkoa wa Tabora aliwasiliana na RPC mkoa na akaagiza OCD vijana wake waende kwa Malisa, kama mjuavyo kua watu wa usalama wanamtafuta kwa muda mrefu, hivyo tukakubaliana kua asikubali kutoka na ikiwezekana azime simu zake zote halafu asubuhi hii tutajua nini la kufanya tukiwa wote.

Nadhan kwa ufupi nimewaondo hofu ya swali.

=======

Habari :
Kumekuwa na taharuki tangu jana, baada ya kutoka kwa taarifa ya kuvamiwa kwa mwenyekiti wa UTG, na kada wa chadema, kamanda Malisa GJ. Taarifa hizo ni za kweli, na polisi walifika usiku wa Saa 9 kutoa msaada. Leo asubuhi tumewasiliana na RPC na ametoa maelezo nini kifanyike. Hivyo hadi muda huu Malisa yupo salama na anashughulika na utaratibu wa kipolisi.

Imetolewa na :-
Noel Shao
N/Katibu Mkuu UTG.
Mnajifanya makamanda wa midomo kumbe ni waoga ajabu.watu wameenda kuiba jirani nyie mnaharisha
 
Lugha ya Kiarabu hiyo. Mpe Quran asome mistari 6 uone anavyotoka jasho. Huku mtaani huwa nawashngaa sana. Ww na akili zako utaabudu vipi katika dini ambayo lugha yake huijui? Hayo mafundisho unayapata vipi? Njia ya kutafrisiriwa na kiongozi wa dini huwa siikubali mpaka kesho kutwa sbb mtu anapaswa kujua kweli kupitia mafundisho ya kujisomea yeye mwenyewe. Kuna mmoja alikuwa ameshika Quran. Nikamwambia nataka nije kwenye dini yako basi akufurahi. Nikamwambia hebu nisomee mistari 6 kutoka kwenye kitabu kwa kiarabu. Nikamuona anatoa mimacho tu. Ni kasema ujinga ni mzigo sana
Washazoea kukalilishwa na mashehe

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom