Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

Wewe hamnazo. Pale chadema walikuwa wanakujeri na wakishangilia wewe naona umeamini. Wammisi Mr makinikia kwa kipi??
Tutajuaje sasa kama hata huu UROPOKAJI wa akina Lissu sio KEJERI iwapo leo mnanengua viuno bungeni mkiimba kummiss JK halafu kesho mnadai apelekwe mahakamani eti ni FIASADI?
Hivi mnajielewa kweli au Ngosha kawapotezea mwelekeo hamjui mnasimamia nini.
 
ukiwasikiliza kwa umakini wanamsifia JK katika lipi ndio utakua mwisho wako wa uzero brain, na pia fuatilia apelekwe mahakamani kwa kipi, usiwe kam umekunywa viroba.
 
Fungua Uzi mwingine hoja aiendani na mada

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
 
Duh... Wanaccm basi mnafurai chadema wakimshangilia jk...

Basi ndg baada ya ripoti ya pili wapinzani wakiwa bungeni waliwashangilia sana presida wa awamu ya tatu na ya nne... Apo Kwa akili yako uliamini walishangilia kwa kuwakubali.. Pole weeee. Ile ilikuwa kuwakejeli Juu ya yaliyojiri ktk ripoti ya mchanga ya kamati ya pili, kwa wanaoelewa walielewa pia kwann mkuu alipiga marufuku kuwataja kwa sasa.

Sometimes tuwe tunajiongeza. Izo baba ni kejeri pia zaidi ni lugha ya picha kwa kinachoendelea tz.
 
Nani wa kumvamia Malisa. Nyie Bavicha acheni ukichaa.. Uache kumvamia Lisu, Zito, Bashe then umvamie Malisa...
 
ukiwasikiliza kwa umakini wanamsifia JK katika lipi ndio utakua mwisho wako wa uzero brain, na pia fuatilia apelekwe mahakamani kwa kipi, usiwe kam umekunywa viroba.
Kwa hiyo walikuwa wanakata viuno vya kummiss kwa kipi - Uzuri wa sura?
 
Fungua Uzi mwingine hoja aiendani na mada

Sent from my HUAWEI Y336-U02 using JamiiForums mobile app
Tunaongelea mlaaniwa number moja wa Malisa (SOMA). Ambaye wabunge wetu akina Msigwa walikuwa wakikata viuno bungeni kumtaka arudi eti wamemiss.
Ngosha kawapotezea mwelekeo hawajui kwa sasa wanasimamia nini.
 
Duh... Wanaccm basi mnafurai chadema wakimshangilia jk...

Basi ndg baada ya ripoti ya pili wapinzani wakiwa bungeni waliwashangilia sana presida wa awamu ya tatu na ya nne... Apo Kwa akili yako uliamini walishangilia kwa kuwakubali.. Pole weeee. Ile ilikuwa kuwakejeli Juu ya yaliyojiri ktk ripoti ya mchanga ya kamati ya pili, kwa wanaoelewa walielewa pia kwann mkuu alipiga marufuku kuwataja kwa sasa.

Sometimes tuwe tunajiongeza. Izo baba ni kejeri pia zaidi ni lugha ya picha kwa kinachoendelea tz.

Kwa hiyo vile viuno walivyokuwa wakivikata akina Msigwa ilikuwa ni KEJERI?
 
Habari makamanda...

Malisa yupo salama..

tuliwasiliana nae mpk mida ya saa kumi alfajiri na kutokana na uchunguzi wa swali iligundulika kua ni majambazi, anapoishi pembeni yake kuna godown na mida hiyo kuna gari ilikuja kupakia mizgo, sasa inasemekana jamaa walikua wanafuatilia hilo gari, bado hatujajua dhamira yao mpaka kwenda kwa Malisa.

Mwenyekiti wetu mkoa wa Tabora aliwasiliana na RPC mkoa na akaagiza OCD vijana wake waende kwa Malisa, kama mjuavyo kua watu wa usalama wanamtafuta kwa muda mrefu, hivyo tukakubaliana kua asikubali kutoka na ikiwezekana azime simu zake zote halafu asubuhi hii tutajua nini la kufanya tukiwa wote.

Nadhan kwa ufupi nimewaondo hofu ya swali.

Copied somewhere
 
Kwan malisa si alishikiliwa na jeshi la polisi mkoan kilimanjaro..?? au katoka
 
Uwezo wa kupingana na serikali ukiwa nje ya system, utakua unajiondolea dhamana yako ya Uhuru na ulinzi,...unatakiwa uwe mwangalifu sana na mdomo,...
 
Back
Top Bottom