Hili la Escrow wanaohitaji credit ni wafuatao (nimepanga kulingana na umuhimu wao ktk vita hii):
1. David Kafulila
2. Zitto Kabwe Ruyagwa
3. Marehemu Deo Filikunjombe
4. Tundu Antipas Lissu
5. Godwin Ngwilimi
6. Wabunge wote wa upinzani
7. Baraza la vijana la Chadema
8. Vyombo vya habari (binafsi) na Mitandao ya kijamii
9. Asasi za kiraia
10. Rais John Pombe Magufuli
Wanaohitaji kulaaniwa/kulaumiwa vikali kwa kutetea wizi huu na kusema si pesa za umma:
1._______________ (Mtajaza wenyewe maana tumeambiwa tumuache apumzike),
2. Wabunge wa CCM bunge lililopita (but namuondoa Dr.Kigwangala, Mwigulu na wengine wachache),
3. Vyombo vyote vya habari vya umma (TBC 1, TBC Radio, Daily News, Habari Leo, etc),
4. Vyombo vyote vya habari vya CCM (Uhuru radio, Uhuru gazeti),
5. Fredrick Werema (aliyekua Mwanasheria mkuu),
6. Waziri Muhongo,
7. Waziri Ngeleja etc,
8. Waliokua viongozi waandamizi serikalini (RCs, DCs, Mawaziri, etc),
9. Umoja wa vijana wa CCM (Hapa namuondoa Magoiga SN, angalau yeye alionesha ujasiri wa kupingana na chama chake hadharani kwa kukataa kutetea wezi),
10. Chama cha Mapinduzi (CCM).!
Malisa GJ