Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Any uptodates!?
kusoma hujui hata picha huoni, jambazi hakwambii fungua anajua jinsi gani ya kuingia ndani mwakoWewe umejuaje kwamba ni polisi?
Hili la Escrow wanaohitaji credit ni wafuatao (nimepanga kulingana na umuhimu wao ktk vita hii):
1. David Kafulila
2. Zitto Kabwe Ruyagwa
3. Marehemu Deo Filikunjombe
4. Tundu Antipas Lissu
5. Godwin Ngwilimi
6. Wabunge wote wa upinzani
7. Baraza la vijana la Chadema
8. Vyombo vya habari (binafsi) na Mitandao ya kijamii
9. Asasi za kiraia
10. Rais John Pombe Magufuli
Wanaohitaji kulaaniwa/kulaumiwa vikali kwa kutetea wizi huu na kusema si pesa za umma:
1._______________ (Mtajaza wenyewe maana tumeambiwa tumuache apumzike),
2. Wabunge wa CCM bunge lililopita (but namuondoa Dr.Kigwangala, Mwigulu na wengine wachache),
3. Vyombo vyote vya habari vya umma (TBC 1, TBC Radio, Daily News, Habari Leo, etc),
4. Vyombo vyote vya habari vya CCM (Uhuru radio, Uhuru gazeti),
5. Fredrick Werema (aliyekua Mwanasheria mkuu),
6. Waziri Muhongo,
7. Waziri Ngeleja etc,
8. Waliokua viongozi waandamizi serikalini (RCs, DCs, Mawaziri, etc),
9. Umoja wa vijana wa CCM (Hapa namuondoa Magoiga SN, angalau yeye alionesha ujasiri wa kupingana na chama chake hadharani kwa kukataa kutetea wezi),
10. Chama cha Mapinduzi (CCM).!
Malisa GJ
Usikute ayelipewa nafasi ya chini kwenye List ya wanaohitaji credit kanuna.Hili la Escrow wanaohitaji credit ni wafuatao (nimepanga kulingana na umuhimu wao ktk vita hii):
1. David Kafulila
2. Zitto Kabwe Ruyagwa
3. Marehemu Deo Filikunjombe
4. Tundu Antipas Lissu
5. Godwin Ngwilimi
6. Wabunge wote wa upinzani
7. Baraza la vijana la Chadema
8. Vyombo vya habari (binafsi) na Mitandao ya kijamii
9. Asasi za kiraia
10. Rais John Pombe Magufuli
Wanaohitaji kulaaniwa/kulaumiwa vikali kwa kutetea wizi huu na kusema si pesa za umma:
1._______________ (Mtajaza wenyewe maana tumeambiwa tumuache apumzike),
2. Wabunge wa CCM bunge lililopita (but namuondoa Dr.Kigwangala, Mwigulu na wengine wachache),
3. Vyombo vyote vya habari vya umma (TBC 1, TBC Radio, Daily News, Habari Leo, etc),
4. Vyombo vyote vya habari vya CCM (Uhuru radio, Uhuru gazeti),
5. Fredrick Werema (aliyekua Mwanasheria mkuu),
6. Waziri Muhongo,
7. Waziri Ngeleja etc,
8. Waliokua viongozi waandamizi serikalini (RCs, DCs, Mawaziri, etc),
9. Umoja wa vijana wa CCM (Hapa namuondoa Magoiga SN, angalau yeye alionesha ujasiri wa kupingana na chama chake hadharani kwa kukataa kutetea wezi),
10. Chama cha Mapinduzi (CCM).!
Malisa GJ
Kweli kabisa.Kwakweli bila shaka hiki ndicho chanzo cha uvamizi!