Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Uzushi huwaga hauna updates.Updates plzzz mlio karbu nae maana simu z ake hazipatkani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzushi huwaga hauna updates.Updates plzzz mlio karbu nae maana simu z ake hazipatkani
Tayari mkuu watakuwa nae fungeni threadUpdates plzzz mlio karbu nae maana simu z ake hazipatkani
Hiyo picha kwenye avatar yako NDIO anaye takiwa awe keko.Pole yake,meku Malisa...
Bila kusahau "wazee wa mkoa wa Dar es Salaam"!Hili la Escrow wanaohitaji credit ni wafuatao (nimepanga kulingana na umuhimu wao ktk vita hii):
1. David Kafulila
2. Zitto Kabwe Ruyagwa
3. Marehemu Deo Filikunjombe
4. Tundu Antipas Lissu
5. Godwin Ngwilimi
6. Wabunge wote wa upinzani
7. Baraza la vijana la Chadema
8. Vyombo vya habari (binafsi) na Mitandao ya kijamii
9. Asasi za kiraia
10. Rais John Pombe Magufuli
Wanaohitaji kulaaniwa/kulaumiwa vikali kwa kutetea wizi huu na kusema si pesa za umma:
1._______________ (Mtajaza wenyewe maana tumeambiwa tumuache apumzike),
2. Wabunge wa CCM bunge lililopita (but namuondoa Dr.Kigwangala, Mwigulu na wengine wachache),
3. Vyombo vyote vya habari vya umma (TBC 1, TBC Radio, Daily News, Habari Leo, etc),
4. Vyombo vyote vya habari vya CCM (Uhuru radio, Uhuru gazeti),
5. Fredrick Werema (aliyekua Mwanasheria mkuu),
6. Waziri Muhongo,
7. Waziri Ngeleja etc,
8. Waliokua viongozi waandamizi serikalini (RCs, DCs, Mawaziri, etc),
9. Umoja wa vijana wa CCM (Hapa namuondoa Magoiga SN, angalau yeye alionesha ujasiri wa kupingana na chama chake hadharani kwa kukataa kutetea wezi),
10. Chama cha Mapinduzi (CCM).!
Malisa GJ
Kama ni Makirikiri ya Bashite huwa hayashindwagi kitu kwasababu yana baraka zote katika oparation zao.Updates plzzz mlio karbu nae maana simu z ake hazipatkani
Hujajua nguvu ya mitandao? Muulize Binti MtemvuSasa MTU anavamiwa mnaanzisha thread
Duh inamaana sasa ukiisema CCM vibaya unatekwa au pia unapotezwa?? Jmn tuamue moja kuwa tunaifuta ccm 2020Hili la Escrow wanaohitaji credit ni wafuatao (nimepanga kulingana na umuhimu wao ktk vita hii):
1. David Kafulila
2. Zitto Kabwe Ruyagwa
3. Marehemu Deo Filikunjombe
4. Tundu Antipas Lissu
5. Godwin Ngwilimi
6. Wabunge wote wa upinzani
7. Baraza la vijana la Chadema
8. Vyombo vya habari (binafsi) na Mitandao ya kijamii
9. Asasi za kiraia
10. Rais John Pombe Magufuli
Wanaohitaji kulaaniwa/kulaumiwa vikali kwa kutetea wizi huu na kusema si pesa za umma:
1._______________ (Mtajaza wenyewe maana tumeambiwa tumuache apumzike),
2. Wabunge wa CCM bunge lililopita (but namuondoa Dr.Kigwangala, Mwigulu na wengine wachache),
3. Vyombo vyote vya habari vya umma (TBC 1, TBC Radio, Daily News, Habari Leo, etc),
4. Vyombo vyote vya habari vya CCM (Uhuru radio, Uhuru gazeti),
5. Fredrick Werema (aliyekua Mwanasheria mkuu),
6. Waziri Muhongo,
7. Waziri Ngeleja etc,
8. Waliokua viongozi waandamizi serikalini (RCs, DCs, Mawaziri, etc),
9. Umoja wa vijana wa CCM (Hapa namuondoa Magoiga SN, angalau yeye alionesha ujasiri wa kupingana na chama chake hadharani kwa kukataa kutetea wezi),
10. Chama cha Mapinduzi (CCM).!
Malisa GJ
Wewe hamnazo. Pale chadema walikuwa wanakujeri na wakishangilia wewe naona umeamini. Wammisi Mr makinikia kwa kipi??Huyo No 1. mliyekatazwa kumtaja sio yule ambaye wabunge wa CHADEMA wanammiss kweli?
Nimeamini wewe ni mwanga
Swissme
Lkn kubene si aliema anajua Ben yupo wapi?Nae yumo kwa list ya kupotezwa nini kam Ben?? Masikini familia ya Saanane!
Angalieni vizuri msije kuta ni yule mkuu fulani anapenda kuvamia na misilaha mikubwa kubwa
Mzee ungetulia ukaandika vizuri au uko juu ya bodaboda?? maana kiswahili sio pia kithungu sio ni kutapakanya tu manenoHUMU KUNA WANAFIKI WENGI WANAJIFANYA KUSHANGAA AAMA KUONA UXHUNGU
SAME BRBAKIFIKISHWA.MAHAKAAMANI UWAONI KISUTU WALA MCHANGO WA 500 KwAMWANASHERIA
NAOGOPA LAANA NAOGOPA SIASA NWDAYS.MALAIKA ANAWEZA KUKUACHA GETINI SIKU YA MWISHO KWA UNAFIKI
Magoiga SN huyo huyo????