Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

Tetesi: Godlisten Malisa avamiwa na watu wasiojulikana

Jamani jamani,kwani kasema nini kilichomtia matatani?
Hata hivyo akomae,asitoke nje wala wasifungue milango.
Hatutaki sintofahamu nyingine kama ya Ben [emoji17]
Nahisi ule Uzi kaaandika Facebook ndo chanzo
 
Unahusu nini Mkuu?Huwa sipiti pande hizo.
Hili la Escrow wanaohitaji credit ni wafuatao (nimepanga kulingana na umuhimu wao ktk vita hii):

1. David Kafulila
2. Zitto Kabwe Ruyagwa
3. Marehemu Deo Filikunjombe
4. Tundu Antipas Lissu
5. Godwin Ngwilimi
6. Wabunge wote wa upinzani
7. Baraza la vijana la Chadema
8. Vyombo vya habari (binafsi) na Mitandao ya kijamii
9. Asasi za kiraia
10. Rais John Pombe Magufuli

Wanaohitaji kulaaniwa/kulaumiwa vikali kwa kutetea wizi huu na kusema si pesa za umma:

1._______________ (Mtajaza wenyewe maana tumeambiwa tumuache apumzike),

2. Wabunge wa CCM bunge lililopita (but namuondoa Dr.Kigwangala, Mwigulu na wengine wachache),

3. Vyombo vyote vya habari vya umma (TBC 1, TBC Radio, Daily News, Habari Leo, etc),

4. Vyombo vyote vya habari vya CCM (Uhuru radio, Uhuru gazeti),

5. Fredrick Werema (aliyekua Mwanasheria mkuu),

6. Waziri Muhongo,

7. Waziri Ngeleja etc,

8. Waliokua viongozi waandamizi serikalini (RCs, DCs, Mawaziri, etc),

9. Umoja wa vijana wa CCM (Hapa namuondoa Magoiga SN, angalau yeye alionesha ujasiri wa kupingana na chama chake hadharani kwa kukataa kutetea wezi),

10. Chama cha Mapinduzi (CCM).!
Malisa GJ
 
Back
Top Bottom