una matatizo makubwa sanaUnamaanisha mtu anaacha kujenga zahanati kijijini kwao anaenda kujenga pango la kusuuzwa akili halafu unasema watu waige? Kuwa serious basi. Na hapa sio kwa sababu ya udini, hapana, hata angejenga kanisa, bado si mfano wa kuigwa, labda shule ya msingi.
Utumwa katika picha, hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu,Wahindi,Wachina hawakufanywa Slaves? - JamiiForums
Umerusha jiwe gizani, sikiliza kilioWafrika wamekaririshwa ujinga sana kujenga msikiti au kanisani ni sehemu ya maendeleo? Ingejengwa Hospital, shule au kutoa misaada kwa watu hapo ningemuelewa. Shida ya watu wanaabudu dini kuliko Mungu na matokeo yake wanafikiri Mungu yupo msikitini au kanisani.
Mzungu na Mwarabu wameharibu akili ya mwafrika. Jina la uzi lilivyoandikwa duh! inaonekana mtoa uzi alikuwa ana haraka sana ya kupost.
MM HUWA SIAMINI KATIKA DINI YOYOTE. UKIWA MDINI NI SAWA NA MCHAWI. LAZIMA UWABAGUE WENZAKO NA UUE KULINDA IMANI YAKO.
TakbiirrriiiiiiBismillahi Ma shaa Allah.
Hv unaitendea haki hyo verified member?Sidhan kama ujenzi wa misikiti na makanisa ni sehemu ya maendeleo au uhitaji, maana unaweza kusali/kuswali popote hata chin ya mti
Pia msikiti au kanisa, ujenge au usjenge lazima utajengwa tu
Kwa maoni yangu, maendeleo yaelekezwe kwemye huduma za msingi za kibinadamu
Mfano: katika shule, hospitali, maji, n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mimi sielewei, ni kwanini uzi wa ujenzi wa msikiti wa Samatta umeunganishwa na huu wa malisa?Hv unaitendea haki hyo verified member?
Moderator WA jukwaa ni Ustadhi na ukiendelea kuhoji utapigwa tu ban kwa maana lengo ni kuuzima mjadala.Mbona mimi sielewei, ni kwanini uzi wa ujenzi wa msikiti wa Samatta umeunganishwa na huu wa malisa?