Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
uchaguzi wenu wenyewe tena ni uongozi wa chama tu unawamaliza wenyewe ajabu sana dah..Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu.
Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni salama na akamdanganya Rais kuwa wanaotekwa wanatengeneza drama unakuaje muungwana kwake? Acha wananchi waoneshe hisia zao. Wananchi wamemkataa na kuamua kumfurusha msibani, wewe kwanini unawatuliza? Kwanini unataka kuwa Mkatoliki zaidi ya Papa? Masauni hastahili uungwana huu.Mpaka leo hatujui walipo akina Soka na wenzake halafu anajileta kwenye msiba?
Mimi nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu ambao ni wadogo na wanahitaji malezi yangu. Lakini najiuliza nimeikosea nini nchi hii hadi niwe kwenye list? Kukosoa serikali imekua jinai? Na hata kama ni jinai si mnipeleke mahakamani? Kwanini mtuue?Sativa ametekwa na amewataja watekaji lakini Masauni hajachukua hatua yoyote.
Zipo familia nyingi ambazo zimepoteza wapendwa wao kwa madai ya kutekwa lakini Masauni yupo kimya. Leo wananchi wanamfurusha msibani, Mbowe unamuonea huruma? Huyu Masauni asiye na huruma na maisha ya watanzania wenzake, wewe unamhurumia kwa kufurushwa msibani? Ungemuacha ale matapishi yake.
Please don't be more Catholic than Pope, Mr. Chairman. Unatuvunja moyo. With due respect baba.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
wa nchi kwa mfano itakuje sasa...
chuki binafsi miongoni mwa wana cdm na uchu wa madaraka ya uongozi wa juu utawamaliza 🐒