Wajinga wanachoma miundombinu badala ya kuwafuata viongozi , wajinga wanafuata mkumbo kama wewe ...Nyie wapumbavu tu .Siku hizi ni ngumu kutofautisha mzalendo na mjinga. Na kwa taarifa yako uchawa kwa serekali si uzalendo. Hakuna Uzalendo kwa serekali bali uzalendo ni kwa Taifa.
mnakimbilia kuua nduo mnajisifu ndio mafundisho mnayopeana misikitini hukoTunashika dola , mmebaki kujificha , nyumbu nyie , waoga .
Ni maandamano gani ya kupinga majizi ya kukaa madarakani kwa shuruti yasiyo na athari?Wajinga wanachoma miundombinu badala ya kuwafuata viongozi , wajinga wanafuata mkumbo kama wewe ...Nyie wapumbavu tu .
Kwa hiyo mwendokasi ndiyo imekuibia , mkome tena , msirudie tena.Ni maandamano gani ya kupinga majizi ya kukaa madarakani kwa shuruti yasiyo na athari?
Huyo ni zao la mikesha ya mbio za mwenge.Wana JF wenzangu unaposikia wadau mbalimbali wanahimiza kuhusu Uzazi wa mpango sometimes lengo linakua kuepusha Taifa kujaa vilaza kama huyu.
Imagine kinga ingetumika hapa.