figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Malisa amesema;
1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia wala kunichukua
5. Baadaye akagundua kapelekwa chuo cha Utalii na diplomasia Arusha ndo walilala yeye na watu wengine asiowafahamu.
6.Polisi walimuambia atoe historia ya Safari yake tangu alipokamatwa namanga hadi kufikishwa Polosi.
7. Hakuna aliyemdhamini wala hakujidhamini bali walimuachia huru bila masharti.
8. Hakutuhumiwa kwa kosa lolote la jinai. Yaani hajatuhumiwa kwa chochote wala hajakaguliwa, wala hajaambiwa anachunguzwa kwa lolote bali aliambiwa ondoka upo huru.
MY TAKE
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi? Nahisi Polisi wanashinikizwa kuandika Press zao.. Kama kweli ni mtoto wa Samia anafnaya hivi, ashindwe kwa jina la Yesu atetemeke aanguke chini.
Halafu Polisi walipanga kumgombanisha na Familia. Wamedai wamemmkamata yeye na mwenzake, wakati ni mtu mwanaume. Kwanini hawakumtaja jina kama walivyo taja jina la Malisa?