Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

Wana JF wenzangu unaposikia wadau mbalimbali wanahimiza kuhusu Uzazi wa mpango sometimes lengo linakua kuepusha Taifa kujaa vilaza kama huyu.

Imagine kinga ingetumika hapa.

😂😂😂😂
 
Wana JF wenzangu unaposikia wadau mbalimbali wanahimiza kuhusu Uzazi wa mpango sometimes lengo linakua kuepusha Taifa kujaa vilaza kama huyu.

Imagine kinga ingetumika hapa.
kinga ya nini mzee wake angenyetuka tu
 
Sijui kwanini nimewiwa kutoiamini hii movie, baada ya kumuona Mtoto was Tapeli Mbowe, mmmh sina imani kabisaa.
Nahisi km kuna mchezo vile.
 
Mbona huko utumwani USA hasemi kwamba gas imepanda ? maisha ya bongo hayamuhusu kwa vile alishahama , zaidi ni shobo na nchi ambayo alishaondoka.
cheki ulivyokuwa mkosa akili majitu kama wewe akili zenu ziko matakoni

nani alikuambi kwamba amehama nchi au alipata fulsa ya mafunzo kwenda marekani,
utafaninisha marekani na hapa kuzimu
kule utu wa mtu unathaminiwa sio hapa ukiwa na mawazo tofauti wanakuuwa kwani mahakama zimeweka za nini?
sasa hivi mtu akiwa na mawazo tofauti na mtawala solution ni kuuwa kwa sababu dola kaishika yeye
msifikili haya hayana mwisho ya na misho na mwisho wake utakuwa mbaya kwenu
hasa wewe mzanzibar Nyoko wewe
 
Hii ilikua failed mission , pongezi sana kwa aliyerekodi muda wanamkamata na gari walilomkamatia na kusambaza hii ndio imesaidia vinginevyo vibaka wa policcm wangempoteza huyu kijana.
kabisa, naamini na kelele zimesaidia, inawezekana ilikuwa ndio bye bye
 
cheki ulivyokuwa mkosa akili majitu kama wewe akili zenu ziko matakoni

nani alikuambi kwamba amehama nchi au alipata fulsa ya mafunzo kwenda marekani,
utafaninisha marekani na hapa kuzimu
kule utu wa mtu unathaminiwa sio hapa ukiwa na mawazo tofauti wanakuuwa kwani mahakama zimeweka za nini?
sasa hivi mtu akiwa na mawazo tofauti na mtawala solution ni kuuwa kwa sababu dola kaishika yeye
msifikili haya hayana mwisho ya na misho na mwisho wake utakuwa mbaya kwenu
hasa wewe mzanzibar Nyoko wewe
Toa ujinga wako wewe dogo , huyo alienda huko kama asylum seeker , miaka tisa , achana ushamba unadanganywa na hao ..Alipokuja , alianza kuwasilianza na maaskofu wa TEC kwa sabbu gani ? tumia akili wewe huyo alishaomba muda , umejaa ujinga hata kitu haujui .
 
Kwanza huyu bwana aliwezaje kutoka nje nyakati ambazo wenzie hata kwenda Kenya tu kwa ajili ya matibabu wanakwaa kisiki.mf Lema na Heche akishindwa kuvuka kumzika Odinga.
 
Toa ujinga wako wewe dogo , huyo alienda huko kama asylum seeker , miaka tisa , achana ushamba unadanganywa na hao ..Alipokuja , alianza kuwasilianza na maaskofu wa TEC kwa sabbu gani ? tumia akili wewe huyo alishaomba muda , umejaa ujinga hata kitu haujui .
Kuwasiliana na maaskofu wa Tec ni vibaya?
 
Ukishamaliza kumtisha Sativa, sasa hutaki hata Malisa naye atulie nchini mwake Tanzania! Shida ni nini Mkuu mpaka unataka watu wawe wakimbizi!? Wamekukosea nini!? Kama kuna kitu wamekukosea, mbona waliomkamata wamemuachia!? Sio Poa.
KWANI huyu jamaa ni nani?
 
Back
Top Bottom