Kuna mambo mengi,hivi ni kweli kwamba kuna kikundi cha polisi kinafanya hivyo? Je,si kwamba kuna kundi la mafias wanafanya hivyo ili kuifarakanisha serikali na wananchi? Kuna mengi,ila hipo siku tutajua
Tungeepushwa na matatizo mengi sana🙆♂️🙆♂️🙆♂️Wana JF wenzangu unaposikia wadau mbalimbali wanahimiza kuhusu Uzazi wa mpango sometimes lengo linakua kuepusha Taifa kujaa vilaza kama huyu.
Imagine kinga ingetumika hapa.
Umenisoma vizuri lakini.ninao uhakika kua tukienda vizuri kuliko kutumia mihemko tutapata majibu sahihi.Na kile kikundi cha Mwaipopo kilichojitokeza hadi kinafanya press nani alikua nyuma yake?
Hicho kikosi cha utekaji walitaka kumuua Malisa GJ bila sababu za msingi. Nchi hi ya kichoko imejaa watekaji kila kona.Malisa amesema;
1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia
5. Baadaye akagundua kapelekwa chuo cha Utalii na diplomasia Arusha ndo walilala yeye na watu wengine asiowafahamu.
6.Polisi walimuambia atoe historia ya Safari yake
7. Hakuna aliyemdhamini wala hakujidhamini bali walimuachia huru bila masharti.
8. Hakutuhumiwa kwa kosa lolote la jinai. Yaani hajatuhumiwa kwa chochote wala hajakaguliwa, wala hajaambiwa anachunguzwa kwa lolote bali aliambiwa ondoka upo huru.
View attachment 3661160
MY TAKE
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi? Nahisi Polisi wanashinikizwa kuandika Press zao.. Kama kweli ni mtoto wa Samia anafnaya hivi, ashindwe kwa jina la Yesu atetemeke aanguke chini.
kufuata sheria ni kuwa chawa na kusifia sifia kila jambo mwehu weweFala ni wewe , mbwa koko , muoga kabisa ...Afuate sheria za nchi , huko utumwani kwani kafukuzwa , hii ni baada ya USA kufikria kuondoka uraia wa asylum seeker , hata humu jf hiyo hbari haipo ; ujue jf ni mamluki wale wa ford
Mkuu unatumia akili za ng'ombe au za binadamu?kwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
Watu wakiongea wakiwa nje, mnawaambia warudi waongelee ndani. Wakirudi, mnawaambia waondoke wakaishi nje.kwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
Mbona huko utumwani USA hasemi kwamba gas imepanda ? maisha ya bongo hayamuhusu kwa vile alishahama , zaidi ni shobo na nchi ambayo alishaondoka.kufuata sheria ni kuwa chawa na kusifia sifia kila jambo mwehu wewe
unataka kila mtu awe kama wewe kunguni
Amekuja kupeleka motokwani bongo kasahau nn , achukue na wazazi wake wakaishi huko .
Arudi kufanya nn ? Alishaenda anapotaka, shobo zinatokea wapi ? Kama unateseka ukipata upenyo usirudi tena .Watu wakiongea wakiwa nje, mnawaambia warudi waongelee ndani. Wakirudi, mnawaambia waondoke wakaishi nje.
Mtu akiwa na akiwa na akili tu tiyari adui?Mbona huko utumwani USA hasemi kwamba gas imepanda ? maisha ya bongo hayamuhusu kwa vile alishahama , zaidi ni shobo na nchi ambayo alishaondoka.
Alienda kimasomo, na masomo yameisha. Mbona hilo liko wazi?Arudi kufanya nn ? Alishaenda anapotaka, shobo zinatokea wapi ? Kama unateseka ukipata upenyo usirudi tena .
Ndio mnachotaka? Aya sasa wanarudi waueni na kumaliza kuua wengine mia wanaingiaArudi kufanya nn ? Alishaenda anapotaka, shobo zinatokea wapi ? Kama unateseka ukipata upenyo usirudi tena .
Aiseee 😃Wana JF wenzangu unaposikia wadau mbalimbali wanahimiza kuhusu Uzazi wa mpango sometimes lengo linakua kuepusha Taifa kujaa vilaza kama huyu.
Imagine kinga ingetumika hapa.