Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

Kilipanda mapinduzi , huku wamejificha , hawana watoto kazi kushawishi wengine ili waendelea kupitisha magendo
Mbona kukicha mnawaita kuridhiana ? Vipi mnakosa utulivu eee?
 
Malisa amesema;

1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia
5. Baadaye akagundua kapelekwa chuo cha Utalii na diplomasia Arusha ndo walilala yeye na watu wengine asiowafahamu.
6.Polisi walimuambia atoe historia ya Safari yake
7. Hakuna aliyemdhamini wala hakujidhamini bali walimuachia huru bila masharti.
8. Hakutuhumiwa kwa kosa lolote la jinai. Yaani hajatuhumiwa kwa chochote wala hajakaguliwa, wala hajaambiwa anachunguzwa kwa lolote bali aliambiwa ondoka upo huru.
View attachment 3661160

MY TAKE
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi? Nahisi Polisi wanashinikizwa kuandika Press zao.. Kama kweli ni mtoto wa Samia anafnaya hivi, ashindwe kwa jina la Yesu atetemeke aanguke chini.
Asante Mungu amerudi aisee
Maana nilianza kuogopa sana
 
Wana JF wenzangu unaposikia wadau mbalimbali wanahimiza kuhusu Uzazi wa mpango sometimes lengo linakua kuepusha Taifa kujaa vilaza kama huyu.

Imagine kinga ingetumika hapa.
so pathetic aisee umwandika nn hiki
 
Mwenyekiti yuko ndani mwaka sasa , hamna cha kufanya nyumbu.
Hiyo ni progress ya mapambano ya kweli dhidi ya wauaji, historia inawekwa muda utaongea mkweli siku zote na mvumilivu umemwona mwamba hata kutia huruma richa ya vitisho vyenu?
 
Toa ujinga wako wewe dogo , huyo alienda huko kama asylum seeker , miaka tisa , achana ushamba unadanganywa na hao ..Alipokuja , alianza kuwasilianza na maaskofu wa TEC kwa sabbu gani ? tumia akili wewe huyo alishaomba muda , umejaa ujinga hata kitu haujui .
Miaka tisa !?
 
Hiyo ni progress ya mapambano ya kweli dhidi ya wauaji, historia inawekwa muda utaongea mkweli siku zote na mvumilivu umemwona mwamba hata kutia huruma richa ya vitisho vyenu?
Haah , waoga nyie nyumbu .
 
Back
Top Bottom