JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Watu wema hawahitaji kuwa na chama ili kuonesha hisia zao Mkuu! Au ndivyo ulivyokaririshwa!? Simba na Yanga zina mamilioni ya mashabiki lakini kwenye mikutano yao ya wanachama hata ukumbi wa Nyerere haujai ipasavyo. Kwa hiyo haihitaji kuwa mwanachama kujua baya au zuri!?Tatizo lenu kama mnataka basi niwaambie , nyie washamba hamjui tatizo liko wapi ... Hamna wanachama , mnaonekana kma wapiga kelele tu .