Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

Hii ndio inaitwa banana Republic! Unamkamata mtu unakaa naye zaidi ya saa 12 unamwachia. Halafu kila kitu kinaendelea kama kawaida. Ifike wakati tukatae kodi zetu kuchezewa ovyo.
 
Hii ndio inaitwa banana Republic! Unamkamata mtu unakaa naye zaidi ya saa 12 unamwachia. Halafu kila kitu kinaendelea kama kawaida. Ifike wakati tukatae kodi zetu kuchezewa ovyo.
Rais Ruto alivyoingia madarakani alikikuta kikosi kama hiki Kenya lakini Ruto amekifuta rasmi kikosi hicho.

Sasa hapa kwetu tupewe tafsiri ya kikosi kazi.
 
Kuna mambo mengi,hivi ni kweli kwamba kuna kikundi cha polisi kinafanya hivyo? Je,si kwamba kuna kundi la mafias wanafanya hivyo ili kuifarakanisha serikali na wananchi? Kuna mengi,ila hipo siku tutajua
Sometimes nawaza hivi pia
 
Malisa amesema;

1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia
5. Baadaye akagundua kapelekwa chuo cha Utalii na diplomasia Arusha ndo walilala yeye na watu wengine asiowafahamu.
6.Polisi walimuambia atoe historia ya Safari yake
7. Hakuna aliyemdhamini wala hakujidhamini bali walimuachia huru bila masharti.
8. Hakutuhumiwa kwa kosa lolote la jinai. Yaani hajatuhumiwa kwa chochote wala hajakaguliwa, wala hajaambiwa anachunguzwa kwa lolote bali aliambiwa ondoka upo huru.


MY TAKE
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi? Nahisi Polisi wanashinikizwa kuandika Press zao.. Kama kweli ni mtoto wa Samia anafnaya hivi, ashindwe kwa jina la Yesu atetemeke aanguke chini.

Police wakisema Wamekudhamini wao
Manake wewe upo huru kama raia wa kawaida✅️

Mdogo wangu Malisa pengine msingi wa iyo kauli
ajaelewa‼️

Angejenga Hoja kama polisi wangesema mmoja wao kaamua kumdhamini❌️

Maneno ya Malisa yangekuwa na HOJA ya mshangao au kupinga ayo maelezo ✅️

Sisi sote Wananchi tupo Kwenye dhamana ya Vyombo vya Usalama
Ndiomana tupo huru

Lkn tukikiuka izo dhamana ndio sasa tunapaswa kutafuta dhamana upya za kibinafsi ✅️

Kama nimeeleweka
nashukuru ✍️
 
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi?
Kuna kundi la Abdul Sa100,
Kuna kundi la Mwaipopo,
Kuna kundi la Tiss,
Kuna kundi la Mafwele,
Kuna kundi la policcm,
Nk..

Wote hao ni watekaji, wauaji
 
Umenisoma vizuri lakini.ninao uhakika kua tukienda vizuri kuliko kutumia mihemko tutapata majibu sahihi.

Jibu swali langu, wale waliojiita mbwa mwitu wa Mwaipopo nani alikua nyuma yao?

Na sheria ya ulinzi ya taifa inasemaje kuhusu "majeshi" rasmi.

Je ni sahihi mtu binafsi kujiundia jeshi ndani ya nchi?

Kama ni sahihi au sio sahihi je hatua gani zilichukuliwa.?
 
Kuna mambo mengi,hivi ni kweli kwamba kuna kikundi cha polisi kinafanya hivyo? Je,si kwamba kuna kundi la mafias wanafanya hivyo ili kuifarakanisha serikali na wananchi? Kuna mengi,ila hipo siku tutajua
Kama Serikali haihusiki kwanini hawaioneshi juhudi au kutoa neno lolote kuhusu utekaji ndio Kwanza wamekaa kimya
 
Awe makini. Wanaweza kurudi kwa njia nyingine, wakiwa in disguise. Kwa sasa mission yao ilikuwa ngumu kwa sababu last contact person alikuwa wao, hivyo watu wangeweza kudai majibu kutoka kwao. Lakini wakirudi in disguise, watasema hawajui chochote, wao walishamwachia. Kwa hiyo awe makini, game bado haijaisha
 
Malisa amesema;

1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia
5. Baadaye akagundua kapelekwa chuo cha Utalii na diplomasia Arusha ndo walilala yeye na watu wengine asiowafahamu.
6.Polisi walimuambia atoe historia ya Safari yake
7. Hakuna aliyemdhamini wala hakujidhamini bali walimuachia huru bila masharti.
8. Hakutuhumiwa kwa kosa lolote la jinai. Yaani hajatuhumiwa kwa chochote wala hajakaguliwa, wala hajaambiwa anachunguzwa kwa lolote bali aliambiwa ondoka upo huru.


MY TAKE
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi? Nahisi Polisi wanashinikizwa kuandika Press zao.. Kama kweli ni mtoto wa Samia anafnaya hivi, ashindwe kwa jina la Yesu atetemeke aanguke chini.
Machawa wa Abduli walitikisa kiberiti
 
wewe kijukuu wa mtume mudi mbakaji , mtume wenu Alabaka kitoto cha miaka 6
ndio maana mna utu nyie
mnaamini ukiwa kobazi tu Peconic hata mkiua sawa ndio mbachofundishana huko misikitini, kwamba ukiua kafili unapata thawabu, ndio maana mnafurahia now
Achana na watu wanao-distract wengine. Najua unataka haki na hao wengine ambao wanafanya utekaji ni kuwa tu hawajitambui. Kinachotakiwa ni kuendelea kutaka haki nchini na wengine watakuja kutuiga. Nchi ambazo wameteka watu na kuua huwa inaishia vibaya hata kwa wahusika. Mifano ipo mingi kwenye hili jukwaa
 
wewe kijukuu wa mtume mudi mbakaji , mtume wenu Alibaka kitoto cha miaka 6
ndio maana mna utu nyie
mnaamini ukiwa kobazi tu Peponi hata mkiua sawa ndio mnachofundishana huko misikitini, kwamba ukiua kafili unapata thawabu, ndio maana mnafurahia now
Wewe nguruwe wa bara , chama cha kanisa hakitokuja kushika madaraka , bora kutawaliwa na mbwa.
 
Wewe nguruwe wa bara , chama cha kanisa hakitokuja kushika madaraka , bora kutawaliwa na mbwa.
Wewe mzenji kobazi na mashekhe wenu ubwabwa wakata vichwa msifikili kuuwa watu hakuna mwisho mwisho wenu waje wabakaji nyie kama mtume wenu mudi
 
Malisa amesema;

1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai
2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi
3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko
4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia wala kunichukua
5. Baadaye akagundua kapelekwa chuo cha Utalii na diplomasia Arusha ndo walilala yeye na watu wengine asiowafahamu.
6.Polisi walimuambia atoe historia ya Safari yake tangu alipokamatwa namanga hadi kufikishwa Polosi.
7. Hakuna aliyemdhamini wala hakujidhamini bali walimuachia huru bila masharti.
8. Hakutuhumiwa kwa kosa lolote la jinai. Yaani hajatuhumiwa kwa chochote wala hajakaguliwa, wala hajaambiwa anachunguzwa kwa lolote bali aliambiwa ondoka upo huru.


MY TAKE
Hawa wenye nguvu kuzidi Polisi ni watu gani. Hivi viumbe vinavyo tusumbua wataanza vimetoka wapi? Nahisi Polisi wanashinikizwa kuandika Press zao.. Kama kweli ni mtoto wa Samia anafnaya hivi, ashindwe kwa jina la Yesu atetemeke aanguke chini.
Ametokea US, hivyo US wangejiona walikuwa na dhamana ya kumlinda na kapotelea nchini make, hivyo wahusika ni Maduro
 
Wewe mzenji kobazi na mashekhe wenu ubwabwa wakata vichwa msifikili kuuwa watu hakuna mwisho mwisho wenu waje wabaki nyie kama mtume wenu mudi

Tukisema katoliki ni watu wa Deals manake tunamaanisha sio maneno matupu

Uganda mu7 ni Mkatoliki mwenzao
Upinzani Uganda unasagwa sagwa Kanisa katoliki
kimyaaa 👈

yule mpinzani Kizza Basigye kabakisha macho hakuna Tamko lolote kutokea Askofu yoyote

Ndivo ivyo ilikuwa pale Zaire zamani chini ya Mobutu Seseko Mkatoliki
mwengine 👈

Makanisa katoliki kimya
Mobutu katumia na kutumbua kinyozi anatokea
Paris Ufaransa 👈

keki Cake ya mpenzi na mapochopocho ndege inatumwa Ufaransa 👈

Katumia pesa hakuna kiongozi yoyote wa Africa kamfikia kufikia sasa👈

Mdio yeye katoa pambano la ngumi la uzito wa juu kabisa kutokea Marekani kaliamishia Zaire❗️Katumia pesa vibaya sana
Kanisa Kotoliki wewe chukua nasisi tuchukue👈

Upinzani teketeza utakavyo wewe wao kimyaa kwao Deals ndio Haki sio chengine chochote wanadanganya
Wajinga tu

Ile Zaire
Demokrasia hakuna mpaka kavamiwa Kijeshi
akaikimbia Zaire✍️

Kanisa Kotoliki wanapenda Deals yoyote kwao twende hata yakuuwa Binadamu kwao muhimu tu pesa mbele 👇

Padre wa Kanisa katoliki mwenye Usomi wa Phd ❗️kapewa Deals ya Albino uyo kucheza wamekauwa katoto cha Albino 👇
 

Attachments

  • images-11.jpeg
    images-11.jpeg
    31.7 KB · Views: 6
Back
Top Bottom