Au ujisikie kama umelala mbinguni6*6 inch 12 u 14 ambalo litanifanya nikilala nione nimelala sehemu nzuri na salama mnoo kwa mwili wangu, kuepusha maumivu ya mgongo,
pole sana mkuu.Naweka kambi hapa... Maana nilinunua hilo Godoro wanaita Dodoma.. liko na features zote wazosema tukague kujua kama ni halis au lah. Cha ajabu lina Miaka Miwili ukilala linabonyea bonye hali inayopelekea kuumwa sana Mgongo
Utakua umebamizwa Dodoma halisi ILIYOVISHWA Foronya ya Dodoma QFL. Yalishanikuta, Ninalo Moja,nmelitelekeza stoo😊Naweka kambi hapa... Maana nilinunua hilo Godoro wanaita Dodoma.. liko na features zote wazosema tukague kujua kama ni halis au lah. Cha ajabu lina Miaka Miwili ukilala linabonyea bonye hali inayopelekea kuumwa sana Mgongo
Quality ya godoro haipimwi kwa kuzuia maumivu ya mgongo.Wakuu naomba msaada natafuta godoro zuri 6*6 inch 12 u 14 ambalo litanifanya nikilala nione nimelala sehemu nzuri na salama mnoo kwa mwili wangu, kuepusha maumivu ya mgongo, gharama ya godoro ilo lisizidi 1M (Shilingi milion 1). Natanguliza shukrani zangu kwenu naomba kupata ushauri wenu
Bei zake kwa 5 × 6Kuna magodoro mapya naona yameibuka sokoni kwa sokoni nilijaribu kuyatumia naona yako poa sana. Yanaitwa Golden sun.
ni kweli hata mimi nilinunua magodoro ya dodoma kiwandani kwao kabisa .Tena nilinunua mawili inch 6 kwa sita inch 12 na la watoto AISEE magodoro yale yana bonyea yanaacha shimo,yanaumiza mgongo balaa yani una amka umechoka sana na unaamka ukiwa unaumwa.KUMBE nikaja nikaambiwa magodoro ya dodom mazuri QFL sio dodoma kumbe kuna utofauti kati ya magodoro ya dodoma na QFL.Naweka kambi hapa... Maana nilinunua hilo Godoro wanaita Dodoma.. liko na features zote wazosema tukague kujua kama ni halis au lah. Cha ajabu lina Miaka Miwili ukilala linabonyea bonye hali inayopelekea kuumwa sana Mgongo
Kulala kwenye ulimi tena sakafuni ni bora zaidi na ni tiba dhidi ya maumivu ya misuli.Au ujisikie kama umelala mbinguni
anyway nimeona wachina wengi wanalala kwenye ulimi hawataki kusikia habari za magodoro makubwa sijui kuna siri gani
Magodoro ya uhakika nunua Tanfoam kama una maumivu ya mgongo chukua orthopedic ya Tanfoam. Kujua bei na wapi utapata wacheki kenye page zao watakupa bei na namba za wakala kutokana na eneo unalopatikana.Wakuu naomba msaada natafuta godoro zuri 6*6 inch 12 u 14 ambalo litanifanya nikilala nione nimelala sehemu nzuri na salama mnoo kwa mwili wangu, kuepusha maumivu ya mgongo, gharama ya godoro ilo lisizidi 1M (Shilingi milion 1). Natanguliza shukrani zangu kwenu naomba kupata ushauri wenu