Godoro gani la quality ya juu kuepusha maumivu ya mgongo?

 

Attachments

  • images - 2024-11-05T175809.857.jpeg
    25.6 KB · Views: 16
Hizo ulizonunua ni bei gani?
 
Hizo ulizonunua ni bei gani?
zile za dodoma nilinunua kiwandani kwao hapo fourways dodoma laki 4.15 kwa pc moja, mawili laki 8 hivi ya ukubwa wa 6*6*12 kila moja.NDIO YALE MABAYA YANAYOBONYEA NA KUUMIZA MGONGO

Hili la premium size 6*6 *10 hawana inchi 12 walikuwa wanaishi inchi 10 tu
nilinunua dodoma kwa bei ya laki 9 na kitu au milion1 kasoro. kwa pc moja
ILA NI ZURI SANA.
 
asante sana, Katika mambo ambayo Tanzania inafeli ni pamoja na Magodoro, mara kadhaa nimeagiza Magodoro Johannesburg, jambo ambalo ni gharama kubwa mno!
 
Wenye Utaalam Semeni Anunue Lipi
Magodoro mengi mtaani ni fake- aende kwenye duka la kampuni husuka, comfy vita raha wapo mlimani, qfl nenda kariakoo kwa wahindi. Ukitaka kujua godoro fake ukiona godoro ni pale unaambiwa godoro la 5 kwa 6 na kuendelea la inch 8 and over linabebwa kwa pik pik. Density ya godoro oruginal kama hilo huwez kukunja hata mara mbili ukabebq kwenye boda
 
Hii premium ni brand au ..???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…