Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
tafuta Tanfoam ArushaBomba-8inch-250k
Super bango-8inch-220k
Arusha delux-8inch-230k
Arusha delux-8inch-180k
Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
Zingatia huu ushauriHayo sijui, ila nunua Tanfoam Arusha au qfl dodoma, kama unayaka ya kudumu, nimeyatumia sana
Nunua godoro likiisha nunua tena , technology itakuachaBomba-8inch-250k
Super bango-8inch-220k
Arusha delux-8inch-230k
Arusha delux-8inch-180k
Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
...kuna godoro la qfl dodoma la inchi 12 nilinunua 2017, ukilirudisha dukani linanunulikaZingatia huu ushauri
Bado ulikuwa unalalia jamvi Tu, Anza na Super Banco, alaf utahamia TanformBomba-8inch-250k
Super bango-8in
Arusha delux-8inch-230k
Arusha delux-8inch-180k
Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
Ni super Bango kasemaBado ulikuwa unalalia jamvi Tu, Anza na Super Banco, alaf utahamia Tanform
Zaidi ya Tanfoam Arusha magodoro mengine ni ya muda mfupi.Bomba-8inch-250k
Super bango-8inch-220k
Arusha delux-8inch-230k
Arusha delux-8inch-180k
Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
Nafanya hiyo biashara chukua tanform tx na qfl tx hata bei zake zimechangamka kidogoHizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
ShukranHayo sijui, ila nunua Tanfoam Arusha au qfl dodoma, kama unayaka ya kudumu, nimeyatumia sana
HayaZingatia huu ushauri
HayaHongera kwa kununua godoro jipya
Hongera kwa kununua godoro jipya
Bei gan tanformZaidi ya Tanfoam Arusha magodoro mengine ni ya muda mfupi.