Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
- Thread starter
- #21
Hapa kwene density ndo nnvita foam supreme la density 28
Hapa kwene density ndo nnvita foam supreme la density 28
NdioHivi godoro nalo unataka lidumu kama nyumba?
Linauzwatanfoam lolita spring matress hutajutia.
OhooKati ya hayo uloorodhesha hakuna godoro la maana.
Magodoro Tanzania ni kampuni mbili tu;
1. Tanform Arusha
2. QFL Magodoro Dodoma
Hii nchi ngapKama huko uliko brand zinazopatikana ni hizohizo ulizoorodhesha hapo basi chukua huyo Arusha deluxe wa 230K hakikisha ana density 28
Nchi 8Hii nchi ngap
Lete picha acha promo....kuna godoro la qfl dodoma la inchi 12 nilinunua 2017, ukilirudisha dukani linanunulika
Bei inategeme ukubwa na ukienda kwa wakala wao mkuu kuna unafuu.Bei gan tanform
...unataka kununua godoro lililotumika!?Lete picha acha promo.