Kama maisha yako yote umekuwa ukihisi kila uamuzi ni lazima utanguliwe na logic au reason ndiyo mtu awe timamu basi tambua kuwa hilo si sahihi.
Kwa hiyo jaribio lako la kuirekebisha kuifanya hoja isiwe na logical contradiction limekushinda?Exactly, nimejaribu kurekebisha zaidi ila nahisi bado ni still futile efforts tu kwenye hiyo dunia/uhalisia wako😥
Sijauliza habari za relative, nimekuuliza uhalisia ambao umekuwa unaouongelea katika kila post yakoGo and study relativity concepts. Do your homework
: Kama maisha yako yote umekuwa ukihisi kila uamuzi ni lazima utanguliwe na logic au reason ndiyo mtu awe timamu basi tambua kuwa hilo si sahihi.
Snob approachAliyesimika misingi mikuu ya mantiki ni Aristotle, misingi hiyo hutumiwa na wanamantiki kama nyenzo kuu ya kufikia hitimisho sahihi/ukweli wa kila jambo
Baadhi ya wafuasi wa misingi yake huitumia 'nonsensical' kupinga uwepo wa Mungu, lakini cha kufurahisha aliyeanzisha misingi yenyewe alikuwa akiamini uwepo wa Mungu
Hii kitaalamu inaitwa kauza watu halafu katokea mlango wa nyuma [emoji23]
Didn't say that! It's clearly quite absurd thoughSnob approach
Kwamba kwakua Aristotle alikuwa ni intelligent kwenye maswala ya logic na aliamini Mungu na sisi tunaotumia logic inabidi tuamini Mungu?
Sio debater na wakati tunakuona una participate kwenye mjadala?Didn't say that! It's clearly quite absurd though
But i am not a debater [emoji4]
Basi huwa wanatupia ma term kututishia tishia humu wakati google ipo hapo tu walidhani watu wote wameshikamana na misahafu pekee. Wengine tulianzia kwenye field tofauti kabisa huko mfano baiolojia/physcs na tukampata Mungu ndio tukarudi kwenye vitabu vitakatifu kupata ufunuo zaidi.Bruh!
Si bora hata angekuwa anajua logic sasa. Hajaelewa, kakariri na ana ufahamu fyongo
Kwenye uzi mmoja nilimfundisha:
1. Ad-Hominem &
2. Red Herring
Na kuna mwenzake kajifanya mjuaji humu kageuzwa mwanafunzi
1. Self-evident truth
Bruh! Cheza hii karata, huyo jamaa anaikubali concept ya quantum mechanics "effects can happen before the cause"
Mwambie athibitishe hilo kimantiki tucheke
Hiyo karata ni reciprocal ya Non-sequitur fallacy [emoji23]
Kwa kuwa nimeshaeleza mara nyingi, sioni tena kama umechukulia mimi nina mamlaka ya kukueleza kuhusu uhalisia. Ungekuwa unakubali unsingeniuliza tena.Sijauliza habari za relative, nimekuuliza uhalisia ambao umekuwa unaouongelea katika kila post yako
Uhalisia ni nini?
Haya mambo mnayafanya kimzoea linapokuja swala la mjadala kila kitu kina hojiwaKwa kuwa nimeshaeleza mara nyingi, sioni tena kama umechukulia mimi nina mamlaka ya kukueleza kuhusu uhalisia. Ungekuwa unakubali unsingeniuliza tena.
Nenda hukohuko kwa wataalamu wakuelekeze urudi ukiwa tayari unajua uhalisia ni nini
Ndio, katika uhalisia wako sina pa kushika. Uhalisia wako uko na uwanda mdogo sana kulielewa hilo.Kwa hiyo jaribio lako la kuirekebisha kuifanya hoja isiwe na logical contradiction limekushinda?
Unadhani suala la jiwe kuwa kiumbe hai halimake sense kihiiivyo? Fikiria seli za mwilini zinaweza kuwaza labda mfupa sio kitu hai kuumbe!! Kuna namna fulani ya kuutazama ulimwengu mzima kama sehemu ya kiumbe hai na unamake sense vizuri tu. Usikariri maumbile.Haya mambo mnayafanya kimzoea linapokuja swala la mjadala kila kitu kina hojiwa
Kuna mwenzako humu anasema jiwe ni kiumbe hai na huo ni uhalisia
Pengine hata wewe usingekubaliana na jibu lake licha ya kwamba kaweka madai kuwa ni uhalisia
Ukitaka mjadala wa kuweka assertion ambayo inabidi ichukuliwe hivyo hivyo kama ilivyo wasilishwa basi tutajikuta tunalishana uwongo mwingi hapa
Sasa kuanza ku argue bila kutuambia uhalisia ni nini hapo itakuwa haina tofauti na kuchanga peda kwenye baiskeli ya kunolea visu, hauendi popote
Uhalisia ni nini?
Sio debater na wakati tunakuona una participate kwenye mjadala?
Mimi nilikuwa nahoji sababu ya wewe kuona wanaopinga uwepo wa Mungu kwa kigezo cha logic kwanini waonekane 'nonsensical' kwa madai ya kwamba mgunduzi wa logic aliamini Mungu?
Weka hoja yako pengine ulikuwa na maana nzuri ila umeshindwa kuiwasilisha sasa usiogope challenge kwa kigezo cha kwamba sio mchangiaji na wakati unaandika contents ndefu tena zingine ukiwananga wengine
Huwa nashangaa mtu kashindwa ku define uhalisia nini halafu anazidi kutumia neno hilo hilo lilomshinda kukosolea.Ndio, katika uhalisia wako sina pa kushika. Uhalisia wako uko na uwanda mdogo sana kulielewa hilo.
Paradoxes na contradiction ndogondogo huwa zinapotea mtu akikua mkubwa zaidi kiuelewa. Ukijielimishe pia utatoboa.
Kwani ukirudi ukaisoma tena post #784 umebadilisha mawazo yako? Kwa mtu ambaye uhalisia wake hauna kitu PURPOSE ni ngumu kuelewa.Kwa hiyo jaribio lako la kuirekebisha kuifanya hoja isiwe na logical contradiction limekushinda?
Usiniletee habari za sadiki na chitemo hapaHata nikikujibu hautasadiki 😂😂. Sasa nimeelewa kwa nini Yesu alitumiaga kauli kama hii. Na naamini yeye alikuwa embodiment ya LOGIC kabisa na alitoa kauli kama hiyo.
Just Imagine mtu wa level zake anahitimisha hivyo??
Nimeedit kusapoti wa jiwe ni kiumbe hai kajibu tena.......Usiniletee habari za sadiki na chitemo hapa
Hayo mambo ya kusadiki kaongee ukiwa huko madhabahuni ila sio hapa, hapa tuna hoji kila kitu ikiwemo na huyo fictional character (Yesu)
Post 784 umeandika logical contradiction kulazimisha kilicho kibaya nacho kiwe ni kizuri, nimekushauri upangue hiyo contradiction ili hoja yako iwe logic umeshindwa unaanza kuleta habari za sadiki humuKwani ukirudi ukaisoma tena post #784 umebadilisha mawazo yako? Kwa mtu ambaye uhalisia wake hauna kitu PURPOSE ni ngumu kuelewa.
Uhalisia nilishaudefine katika uhalisia wangu, uhalisia wako na uhalisia kiujumla na umeukataa! we katafute tu huo uhalisia unaoutafuta bro.Huwa nashangaa mtu kashindwa ku define uhalisia nini halafu anazidi kutumia neno hilo hilo lilomshinda kukosolea.
Contradiction ndogo ndogo kwani sio contradiction?
Hizo hizo unazoziona ndogo zinatosha kupoteza mantiki ya kitu na kukifanya kiwe uwongo
Paragraph ya 1&2 ni ridiculousNimeedit kusapoti wa jiwe ni kiumbe hai kajibu tena.......
Halafu nadhani unazidi kuona namna ambavyo sina vitu vya kutosha kushika katika uhalisia wako?
Kwani bro humuamini Yesu hata kama tu kama historical figure, mwamba fulani Logician aliyepata kuwako takribani miaka alfu mbili ilopita??? Achana na hayo mambo mengine. Mi nawakubali hata wale walioishia kusema alikuwa nabii wa Mungu nao wapo hatua nzuri mno.