fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
hongera sanaaaaa kwa kushka no moja kesho uwahi tenawa kwanza "..
ko tuseme jamaa kashafulia au vpupepo uvuma kasi kwenda kusi na wakati mwingine unavuma kusi kwenda kasi.
nd maana tunamtaka arudi tena kuna ladha flani hv tunaikosa kutoka kwakeKingzilla naupenda sana ule wimbo
anajua aaaaaaa"I get high" ule wimbo jaman
Sanaanajua aaaaaaa
na imani ataskia kilio chetuSana
Kwisha habari yake, stress za mapenzi zilimfanya akawa kama chizi.
Kale kademu ndo kalikomchanganya kweli??...no...Mimi nahisi ni pesa tuKwisha habari yake, stress za mapenzi zilimfanya akawa kama chizi.
Demu yupi? Au yule Dee Andy?Kale kademu ndo kalikomchanganya kweli??...no...Mimi nahisi ni pesa tu
Kamechangia sana kale kadem mkuu.Kale kademu ndo kalikomchanganya kweli??...no...Mimi nahisi ni pesa tu
Hako hakoDemu yupi? Au yule Dee Andy?
Hv Yule bado wako nao pamoja? Kuna kipindi nilisikia walipata mttHako hako