Godzilla mchizi wa Salasala mbona hasikiki?

Godzilla mchizi wa Salasala mbona hasikiki?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
huyu jamaa ni mkali sana kwa freestyles na ngoma zake pia ni kali sana lakini siku hizi amepoa sana kuna nini au zama zake zimepita au watu wa media wanambania?? popote ulipo zilla we need u bro
u gat talent flows zako ni kali knoma au ni stress znakufanya ushindwe kurudi tena KWENYE game?? ngoma zako hazichuji mfano
1:illuminaughty
2:boss
3:get of my way etc

we need u
 
Kwisha habari yake, stress za mapenzi zilimfanya akawa kama chizi.
 
Media zimembania na kumfanya billnass kama backup yake, najua Jamaa anajua sema stress zinaweza kuwa zinachangia kwa kiasi chake
 
Back
Top Bottom