Godzilla mchizi wa Salasala mbona hasikiki?

Godzilla mchizi wa Salasala mbona hasikiki?

Kuna pini lake moja alikuwa anaizungumzia salasala limesimama japo alicopy cut kutoka kwa Tricky Trickly Detroit City,Mtaani tunaishi kama maninja,all stars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme,ukiona wana mabegi ujue ndani zimejaa ganja.
 
Ndo wimbo uliomtambulisha
 
huyu jamaa ni mkali sana kwa freestyles na ngoma zake pia ni kali sana lakini siku hizi amepoa sana kuna nini au zama zake zimepita au watu wa media wanambania?? popote ulipo zilla we need u bro
u gat talent flows zako ni kali knoma au ni stress znakufanya ushindwe kurudi tena KWENYE game?? ngoma zako hazichuji mfano
1:illuminaughty
2:boss
3:get of my way etc

we need u
Wee mwanga umehusika moja kwa moja kwa
 
Back
Top Bottom