successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,083
- 6,139
Zilla alimwagwa, akawa kama amechanganyikiwa. Hawajawahi kupata mtoto.Hv Yule bado wako nao pamoja? Kuna kipindi nilisikia walipata mtt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilla alimwagwa, akawa kama amechanganyikiwa. Hawajawahi kupata mtoto.Hv Yule bado wako nao pamoja? Kuna kipindi nilisikia walipata mtt
duh kumbe ndo ishu iko hvo??Zilla alimwagwa, akawa kama amechanganyikiwa. Hawajawahi kupata mtoto.
Ndo wimbo uliomtambulishaKuna pini lake moja alikuwa anaizungumzia salasala limesimama japo alicopy cut kutoka kwa Tricky Trickly Detroit City,Mtaani tunaishi kama maninja,all stars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme,ukiona wana mabegi ujue ndani zimejaa ganja.
Wee mwanga umehusika moja kwa moja kwahuyu jamaa ni mkali sana kwa freestyles na ngoma zake pia ni kali sana lakini siku hizi amepoa sana kuna nini au zama zake zimepita au watu wa media wanambania?? popote ulipo zilla we need u bro
u gat talent flows zako ni kali knoma au ni stress znakufanya ushindwe kurudi tena KWENYE game?? ngoma zako hazichuji mfano
1:illuminaughty
2:boss
3:get of my way etc
we need u
Wee mwanga umehusika moja kwa moja kwa