GOK continuing with their good work in poor urban areas of Nairobi

GOK continuing with their good work in poor urban areas of Nairobi

seriously!!!!!! Is your IQ so low that you cant comprehend on what context the sentence was used?
Kizungu ni kizungumkuti to our southern neighbours. Kwani umesahau? Hii part ndio hajaelewa: will drive the best private schools back to the drawing board. Hiyo part ya "back to the drawing board" ndio hajaelewa hata zaidi 😂 😂
 
Nimekuuliza hiki kitu kina maana gani? Mbona simple sana we mzee?

👇👇👇
The project involves renovations and upgrades that will drive the best private schools back to the drawing board
Ungesema kiingereza kinakutatiza... Ila kwa lugha ya kawaida ina maana shule za kibinafsi zina kazi ya ziada kwani majengo ya shule za uma "zinazipiku"
 
Serikali yenu inajenga public schools na kuziita Saints someone?
many public schools in Kenya are started under the church sponsorship, later the government provides teachers and adds more facilities and the school becomes a full public school , however the church continues to play a role in the management together with the govt.. so the name that the church starts with mostly will stay.

In many public schools that were started by the churches , the church has a representative in the Board of management.
 
Kizungu ni kizungumkuti to our southern neighbours. Kwani umesahau? Hii part ndio hajaelewa: will drive the best private schools back to the drawing board. Hiyo part ya "back to the drawing board" ndio hajaelewa hata zaidi 😂 😂
Wewe ndio zero brain, sababu hapo zinaongelewa private schools ninyi mnasema ni public schools! Huoni mlivyo vizibo?
 
many public schools in Kenya are started under the church sponsorship, later the government provides teachers and adds more facilities and the school becomes a full public school , however the church continues to play a role in the management together with the govt.. so the name that the church starts with mostly will stay.

In many public schools that were started by the churches , the church has a representative in the Board of management.
Kinachozungumzwa na zilizopo kwenye pictures sio public schools bali private schools that's all.
 
Wewe ndio zero brain, sababu hapo zinaongelewa private schools ninyi mnasema ni public schools! Huoni mlivyo vizibo?
Naona kichaa inazidi. Kwa hiyo list hakuna private school zote ni public.
 
Ungesema kiingereza kinakutatiza... Ila kwa lugha ya kawaida ina maana shule za kibinafsi zina kazi ya ziada kwani majengo ya shule za uma "zinazipiku"
Kinachoonekana ni private schools nackinachoongelewa ni private schools Hakuna government schools hapo.
 
Kinachozungumzwa na zilizopo kwenye pictures sio public schools bali private schools that's all.
Naona mtanzania kwa ujinga yako unafikiria anaijua kenya! Kenya shule zenye "saint someone" ni nyingi kwa sababu zilianzishwa na kanisa sana sana kanisa katoliki alafu wakaipa serikai kuweka walimu na kadhalika.

Hujui kenya wacha makelele.
 
Ndio zinaitwa private schools?
 
Troll detected....dont feed him guys.The article was very clear from the beginning.Private schools need to go back to the drawing board and come up with better infrastructure or else the public schools will steal the limelight from them....hizi nyefu nyefu nyingi za ati sijui st "whatever" ni private schools ni ujinga. Personally, primary nilisomea public school inaitwa St martins reason being ,the school is catholic sponsored.
 
Serikali yenu inajenga public schools na kuziita Saints someone?
In Kenya, Public Schools can be sponsored by a Church .
Last I checked, even the top High Schools, Alliance is sponsored by PCEA, Mangu by the Catholic Church etc and yet they are all Public schools. They can slap the name St. if the school started off as a Catholic School but is now a public school
 
Ungesema kiingereza kinakutatiza... Ila kwa lugha ya kawaida ina maana shule za kibinafsi zina kazi ya ziada kwani majengo ya shule za uma "zinazipiku"
Hahaha!!kisha jamaa alivyokua zuka kai quote kutuletea kw akili zake kaona km katuumbua[emoji23]
 
images-195.jpeg
Hakuna public school hapo
Jamaa unashangaa sana😂😂😂 Kenya sio size yenu😂😂 zilianzishwa mashambani hizo design, same plan across! Raila Amolo Odinga initiative during Kibaki regime.
Kasagam secondary school Kisumu

images-192.jpeg

images-193.jpeg

Nyamasaria Primary school Kisumu still..,
download-6.jpeg

download-1.jpeg

images-194.jpeg

Manyatta Arab Primary school Nyanza!😂😉

images-195.jpeg

images-196.jpeg

check out Migosi Primary school Kisumu
images-197.jpeg

images-198.jpeg

Google each school have posted n click on images kwa google to verify the facts for yourself, najua hampendi ukweli.
 
Attachments

  • images-197.jpeg
    images-197.jpeg
    8.2 KB · Views: 1
Zote hizo kwenye pictures ni private schools, kajinyonge
Ita kakako The best 007 akusaidie pia😂😂😂 hampendi kujua Kenya is way ahead of Tz by far! Nyie ni Dar tu na Dar yenyewe sehemu ya maana that can be called a city is merwly 10-15% or even less!😂😂😉., mko porini bado.
 
huku Tanzania wanafunzi tunasomea chini ya miti na kukalia mawe. kusema kweli Kenya mumejitahidi sana
 
Back
Top Bottom